-
Zarif: Palestina ni kipimo cha haki; Iran imesimama na Wapalestina kwa fahari
May 06, 2021 12:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Palestina ni kigezo na kipimo cha haki na uadilifu, lakini ni nchi chache zimeweza kupasi katika kipimo hicho.
-
Zarif: Kukishambulia kituo cha nyuklia cha Iran ni jinai ya kivita
Apr 13, 2021 06:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kitendo cha Jumapili alfajiri cha kushambuliwa kwa makusudi mfumo wa usambazaji umeme wa kituo cha urutubishaji urani cha kituo cha nyuklia cha Natanz hapa nchini ni jinai ya kivita.
-
Zarif: Enzi za ukiritimba wa Wamagharibi duniani zimekwisha
Mar 30, 2021 03:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria juu ya kuimarika nafasi chanya ya mataifa ya Asia duniani na kueleza bayana kuwa, ukiritimba wa nchi za Magharibi katika uhusiano wa kimataifa umefikia ukingoni.
-
Iran yakosoa undumakuwili wa Uingereza, yataka silaha zote za nyuklia ziharibiwe
Mar 17, 2021 06:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali undumakuwili wa Uingereza; ambayo kwa upande mmoja inatoa madai yasiyo na msingi dhidi ya miradi ya nyuklia ya Iran yenye malengo ya amani na kwa upande mwingine, inasema kuwa inataka kuongeza akiba ya silaha zake za nyuklia.
-
Zarif: Marekani sharti itekeleze wajibu wake kwa kurejea katika JCPOA
Feb 02, 2021 03:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani haina budi kutekeleza wajibu na majukumu yake kwa kurejea katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Zarif: Mlango wa fursa kwa utawala mpya wa Marekani hautabaki wazi milele
Jan 23, 2021 11:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemuasa Rais mpya wa Marekani Joe Biden, ahitimishe sera za mashinikizo zilizogonga mwamba za mtangulizi wake Donald Trump na kusisitiza kuwa, "dirisha la fursa kwa timu mpya ya Ikulu ya White House halitabakia wazi milele."
-
Iran yaitahadharisha Marekani kuhusu ndege za kivita aina ya B-52
Jan 18, 2021 04:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif ameashiria uwepo wa ndege za kivita za Marekani aina ya B-52 katika eneo la Asia Magharibi na kuonya kuwa, Iran haitasita kutungua chombo chochote kinachokiuka anga yake.
-
Zarif amshambulia Trump kwa kuihusisha Iran na mashambulio ya Iraq
Dec 24, 2020 08:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemjia juu Rais Donald Trump wa Marekani ambaye ameituhumu Tehran kuwa imehusika na mashambulio ya maroketi dhidi ya ubalozi wa US mjini Baghdad, Iraq.
-
Zarif: Nchi za Ulaya zimekiuka wajibu wao katika JCPOA
Dec 22, 2020 03:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema data za miamala ya kibiashara baina ya nchi hii na Ulaya kati ya mwaka 2014 na 2019 zinaonesha wazi kuwa nchi tatu za Ulaya washiriki wa mapatano ya nyuklia ya JCPOA zilikiuka wajibu wao wa kisheria.
-
Zarif: Vikwazo vya Washington vimewadhuru Wamarekani wenyewe
Dec 18, 2020 04:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema sera ya vikwazo ya Washington imekuwa na madhara makubwa hata kwa wananchi wa Marekani wenyewe na kampuni zao na hivyo kusababisha ukosefu wa ajira miongoni mwa Wamarekani.