-
Hatua mpya za Ulaya kulinda makubaliano ya JCPOA
Jun 07, 2018 05:23Sambamba na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutangaza hatua ya kuimarisha shughuli zake za nyuklia katika fremu ya mapatano ya nyuklia na nchi sita kubwa za dunia mashuhuri kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA), nchi za Ulaya zimeongeza mashauriano na juhudi za kuyalinda yasije yakasambaratika.
-
Madola matatu makuu ya Ulaya yaitahadharisha Marekani na matokeo hasi endapo Iran itajitoa kwenye JCPOA
Jun 06, 2018 22:48Mawaziri wa Mambo ya Nje wa na wa Fedha wa Ujerumani, Uingereza na Ufaransa wamewaandikia barua mawaziri wenzao wa Marekani wakieleza wasiwasi walionao juu ya uwezekano wa Iran kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia na matokeo hasi ya hatua hiyo.
-
Hatua shtukizi na za kivitendo za Iran za kuleta mlingano katika JCPOA
Jun 06, 2018 09:23Uamuzi mpya uliotangazwa na Iran wa kustawisha shughuli zake za nyuklia kufuatia agizo lililotolewa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu umeonyesha kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiwezi kutiwa shemere na kuburuzwa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, bali hatamu za kuamua nini la kufanya ziko mikononi mwake.
-
EU: Hatua ya Iran ya kuimarisha urutubishaji urani haikiuki JCPOA
Jun 06, 2018 03:03Umoja wa Ulaya umesema tathmini yake ya mwanzo inaashiria kuwa mpango wa Iran wa kuimarisha urutubishaji urani hadi kufikia kiwango cha SWU 190,000 haukinzani na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Ziara ya barani Ulaya ya Netanyahu, na shabaha ya kuivuruga JCPOA
Jun 04, 2018 22:35Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala dhalimu wa Kizayuni ambaye alimchochea rais wa Marekani, Donald Trump, ajitoe katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA hivi sasa ameamua kuzifungia safari nchi za Ulaya kwa ajili ya kuzichochea ili nazo zijitoe kwenye mapatano hayo.
-
Umoja wa Ulaya wapiga hatua katika kulinda biashara na Iran
Jun 01, 2018 09:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Jean-Yves Le Drian amesema Umoja wa Ulaya umepiga hatua katika kuyalinda mashirika ya kibiasahra ya umoja huo ili yasilengwe kwa vikwazo vya Marekani kutokana na kufanya biashara na Iran. Hata hivyo amesema hatua zilizochukuliwa bado hazitoshi.
-
Uganda yasisitiza kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Jun 01, 2018 03:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda amesema kulindwa makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA ni jambo lenye udharura mkubwa.
-
Russia: Marekani imejitoa kwenye JCPOA ili ikabiliane pande zote na Iran
May 30, 2018 23:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema Marekani imeamua kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA kwa sababu inataka kukabiliana pande zote na Iran.
-
Ujerumani yaipigia magoti Iran, yaitaka isijiondoe JCPOA
May 29, 2018 23:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema Berlin iko tayari kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran madhali Tehran itaendelea kufungamana na mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Mogherini: Kulindwa JCPOA kuna umuhimu wa kiusalama kwa Ulaya
May 28, 2018 21:15Mkuu wa Siasa za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, kulindwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA kuna umuhimu wa kiusalama kwa bara Ulaya.