-
IOM yaomba ufadhili wa dola milioni 81 kwa ajili ya Afrika Mashariki
Feb 12, 2025 09:22Shirika la Uhamiaji la Umoja wa Mataifa (IOM) na washirika 45 wa masuala ya kibinadamu na kimaendeleo wameiomba jamii ya kimataifa msaada wa dola milioni 81 kwa ajili ya kuokoa maisha kwa zaidi ya wahamiaji milioni moja wakiwemo wanawake na watoto na jumuiya zinazowahifadhi katika nchi za Djibouti, Ethiopia, Somalia, Tanzania, Kenya na Yemen.
-
Kikosi cha EAC chaanza kuondoa wanajeshi wake DRC
Dec 03, 2023 10:42Kikosi cha Kikanda cha Jumuiya ya Afrika Mashariki (EACRF) kimeanza kuwaondoa askari wake katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Kikosi cha EAC nchini Kongo DR chaongezwa muda wa kuhudumu
Sep 06, 2023 10:34Jumuiya ya Afrika Mashariki imekiongeza muda wa kuhudumu kikosi cha kikanda cha jumuiya hiyo (EACRF), chenye jukumu la kukomesha mapigano na kuzima uasi huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Biashara kati ya Iran na Afrika Mashariki imeongezeka kwa 100%
Oct 04, 2022 08:01Naibu Mkuu wa Shirika la Kustawisha Biashara la Iran amesema miamala ya kibiashara kati ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Afrika Mashariki imeongezeka kwa asilimia 100 katika kipindi cha miezi mitano iliyopita.
-
Marais wa EAC wajadili soko la pamoja Arusha, Somalia yataka uanachama
Jul 22, 2022 08:02Viongozi wa wa nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC), wameashiria miaka 11 tangu kuanzishwa kwa itifaki ya soko la pamoja na kusisitiza kuwa, kumekuwa na mafanikio makubwa ikiwepo kuongezeka kwa biashara, mitaji na ajira kwa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika na Mashariki.
-
Athari za vita vya Ukraine: Baa la njaa lawanyemelea watu zaidi ya milioni 28 Afrika Mashariki
Mar 24, 2022 13:45Watu zaidi ya Milioni 28 katika nchi za Afrika Mashariki, wapo kwenye hatari ya kukabiliwa na baa la njaa kwa sababu ya kupanda kwa bei ya bidhaa muhimu, hali inayosabishwa na vita vinavyoendelea nchini Ukraine na uhaba wa mvua.
-
UN: Uvamizi wa nzige bado ni tisho kubwa Pembe ya Afrika
Feb 26, 2020 07:42Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) limesisitiza kuwa hali ya mlipuko wa nzige wa jangwani bado ni mbaya katika nchi za Pembe ya Afrika na kwamba inahatarisha usalama wa chakula haswa nchini Ethiopia, Somalia na Kenya.
-
UN: Tunahitaji dola milioni 76 kupambana na nzige waliovamia Afrika Mashariki
Jan 31, 2020 02:42Umoja wa Mataifa umesema unahitaji dola milioni 76 haraka iwezekanavyo za kudhibiti mlipuko wa nzige wa jangwani waliovamia baadhi ya nchi za Afrika Mashariki.
-
Mkutano wa marais wa EAC wafutwa tena
Dec 20, 2018 15:04Mkutano wa wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambao ulikuwa umepangwa kufanyika Arusha Tanzania umefutwa kwa mara ya pili ndani ya wiki tatu.
-
EAC na Interpol zaandaa warsha ya kupambana na magendo ya binadamu, mihadarati
Apr 24, 2018 16:35Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Polisi ya Kimataifa (Interpol) zimeandaa warsha ya siku saba visiwani Zanzibar nchini Tanzania, inayojadili mbinu za kupambana na magendo ya binadamu na dawa za kulevya katika eneo hilo.