-
Mahakama Kuu Kenya yasimamisha uamuzi wa Bunge wa kumuidhinisha Kindiki kuwa Naibu Rais
Oct 18, 2024 10:23Mahakama Kuu nchini Kenya leo imetoa amri ya muda ya kusimamisha kubadilishwa kwa Naibu Rais wa nchi hiyo, Rigathi Gachagua.
-
Wizara ya Mazingira Kenya kuwafurusha waishio pembezoni mwa mito
Oct 16, 2024 23:24Waziri wa mazingira na maliasili wa Kenya, Aden Duale amesema kuwa serikali itaendeleza mpango wake wa kuwahamisha watu wanaoishi kando kando ya mito nchini humo.
-
Bunge la Kenya lamtimua Naibu Rais, Rigathi Gachagua
Oct 09, 2024 00:13Bunge la Kitaifa la Kenya limepasisha kwa wingi wa kura hoja ya kumng’oa madarakani Naibu Rais wa nchi hiyo, Rigathi Gachagua.
-
Wachimba dhahabu Kenya wapoteza maisha baada ya mgodi kuporomoka
Sep 16, 2024 23:34Watu wasiopungua tisa wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa wakati mgodi usio rasmi wa dhahabu ulipoporomoka na kuwaangukia wachimba dhahabu hao huko kaskazini mwa Kenya karibu na mpaka wa Ethiopia.
-
Kaimu Mkuu wa Polisi nchini Kenya ahukumiwa kifungo cha miezi sita jela
Sep 14, 2024 00:58Kaimu Mkuu wa Polisi nchini Kenya Ijumaa ya jana alihukumiwa kifungo cha miezi sita jela baada ya kukaidi mara kwa mara amri ya kutoa ushahidi kuhusu mahali walipo watu watatu ambao wametoweka baada ya kudaiwa kukamatwa na maafisa wa polisi.
-
Mshukiwa wa mauaji ya makumi ya wanawake Kenya atoroka gerezani
Aug 20, 2024 08:31Raia wa Kenya aliyekiri kuhusika na mauaji ya wanawake 42 ambao baadhi yao miili yao ilipatikana imetupwa katika eneo la kutupa taka jijini Nairobi, ametoroka gerezani.
-
Rais Ruto wa Kenya ateuwa wapinzani katika safu ya baraza lake la mawaziri
Jul 24, 2024 09:23Rais William Ruto wa Kenya amewateuwa katika baraza lakek jipya la mawaziri shakhsia wa upinzani huku akiwarejesha nyadhifani mawaziri kadhaa aliokuwa amewafuta kazi.
-
Ruto: Watu wasiofahamika wanaoibua ghasia wanatishia demokrasia ya Kenya
Jul 21, 2024 23:01Rais William Ruto wa Kenya amewatuhumu watu wasiojulikana wanaoibua machafuko kuwa wanatishia demkrasia ya nchi hiyo kufuatia maandamano yanayoikumba nchi hiyo.
-
Rais Ruto wa Kenya awarejesha mawaziri 6 wa zamani kati ya wateule 11, wengine kufuatia
Jul 19, 2024 11:33Rais William Ruto wa Kenya amerudisha mawaziri sita wa zamani kati ya 11 aliowateua kwenye Baraza lake jipya la Mawaziri.
-
Ruto: Wakfu wa US ndio unaochochea maandamano ya fujo Kenya
Jul 15, 2024 23:44Rais William Ruto wa Kenya ameujia juu Wakfu wa Ford wa Marekani, akiuhusisha na vurugu zilizoshuhudiwa nchini humo wakati wa maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha wa 2024 na jinsi utawala wa Kenya Kwanza unaendesha serikali.