-
UN yalaani mauaji ya wakili wa haki za binadamu Kenya
Jul 06, 2016 00:02Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imelaani vikali mauaji ya wakili wa haki za binadamu nchini Kenya Bwana Willie Kimani, mteja wake Josphat Mwenda, na dereva wao wa taxi Joseph Muiruri, yaliyofanyika Juni 23.
-
Wakenya wakerwa na safari ya Netanyahu nchini humo
Jul 05, 2016 09:27Safari ya Benjami Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel imewakera wananchi wa wengi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki na kulemaza shughuli za kila siku haswa wakazi wa mji mkuu, Nairobi.
-
Juhudi za Israel za kutaka kuwa na ushawishi barani Afrika
Jul 05, 2016 03:21Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni jana usiku aliwasili Kenya katika ziara ya kiserikali.
-
Mawakili Kenya katika mgomo wa siku 5 kulalamikia kuuawa mwenzao
Jul 04, 2016 23:21Maelfu ya mawakili nchini Kenya jana Jumatatu walitangaza mgomo wa siku tano wa kususia vikao mahakamana kufuatia kuuawa wakili mwenzao ambaye mwili wake ulipatikana ukiwa umetupwa kwenye mto kusini mashariki mwa mji mkuu, Nairobi.
-
Vijana wa Lamu Kenya wafanya usafi kujitayarisha kwa sikukuu ya Idul Fitr
Jul 02, 2016 08:21Vijana wa Lamu nchini Kenya wameendeleza sunna nzuri ya kufanya usafi kwa ajili ya kujitayarisha kwa sikukuu kubwa ya Waislamu, sikukuu ya Idul Fitr. Video hii inaonesha baadhi ya vijana hao wakiwa kazini wakizungumzia suala hilo...
-
Wakimbizi wa kambi ya Dadaab Kenya waanza kurejeshwa makwao
Jul 02, 2016 07:52Oparesheni ya kuwarejeshwa makwao wakimbizi waliokuwepo katika kambi ya Dadaab huko Kenya imeanza licha ya kuwepo juhudi za kimataifa za kutaka kuzuia zoezi hilo.
-
Wakimbizi wa kambi ya Dadaab waanza kurejeshwa makwao
Jul 02, 2016 03:33Operesheni ya kuwarejesha makwao wakimbizi wanaoishi katika kambi ya Dadaab huko mashariki mwa Kenya imeanza kutekelezwa.
-
Sita wauawa baada ya mabasi kufyatuliwa risasi Mandera Kenya
Jul 01, 2016 10:50Watu wasiopungua sita wameuawa baada ya watu wenye silaha kuyamiminia risasi mabasi mawili hii leo katika kaunti ya Mandera nchini Kenya kwenye mpaka wa nchi hiyo na Somalia.
-
Ripoti: Wakenya 100 wamejiunga na ISIS Libya, Syria
Jun 30, 2016 02:56Vyombo vya kiintelijensia nchini Kenya vinakadiria kuwa makumi ya raia wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki wamejiunga na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) na kueleleza wasiwasi wao kuwa kundi hilo linaendelea kupanua wigo wake katika kanda ya Afrika Mashariki.
-
Jeshi la Kenya laua wanachama 4 wa al-Shabaab, Lamu
Jun 29, 2016 23:04Askari wa Kenya wamewaangamiza wanamgambo wanne wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika kaunti ya Lamu.