-
Nusu ya wakimbizi wa kambi ya Dadaab Kenya kurejeshwa Somalia mwakwa huu
Jun 26, 2016 10:44Kamati ya pande tatu inayoshughulikia wakimbizi wanaoishi katika kambi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani ya Dadaab nchini Kenya imetangaza kuwa, nusu ya wakimbizi hao watarejeshwa nchini kwao ifikapo mwishoni mwa mwaka huu wa 2016.
-
William Ruto: Kenya ina akiba ya kutosha ya chakula
Jun 25, 2016 11:04Naibu Rais wa Kenya amekanusha madai na uvumi kwamba, nchi hiyo ya Afrika Mashariki inakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula.
-
Uganda yaitaka Kenya kutofunga kambi ya wakimbizi ya Dadaab
Jun 24, 2016 23:55Serikali ya Uganda imeitaka Kenya kuangalia upya uamuzi wake wa kufunga kambi ya wakimbizi ya Dadaab nchini humo.
-
Mazungumzo ya simu ya Marais Kenyatta na Obama
Jun 24, 2016 03:41Rais Barack Obama wa Marekani amefanya mazungumzo na mwenzake wa Kenya Uhuru Kenyatta kuhusu masuala ya uhusiano wa pande mbili.
-
Mgogoro wa kisiasa nchini Kenya
Jun 22, 2016 03:19Wabunge wanane wa Kenya ambao walituhumiwa kwa kutoa matamshi ya uchochezi dhidi ya usalama wa taifa wameachiliwa huru kwa masharti.
-
Dunia yaipongeza Kenya kwa kupunguza uharamia Afrika Mashariki
Jun 18, 2016 09:25Hatua ya Kenya kutuma jeshi lake nchini Somalia imechangia kupunguza kwa kiasi kikubwa uharamia katika pwani ya Bahari ya Hindi Afrika Mashariki.
-
Kuendelea radiamali za kutiwa mbaroni wanasiasa nchini Kenya
Jun 18, 2016 06:47Hatua ya polisi ya Kenya ya kuwatia nguvu wanasiasa kadhaa kwa tuhuma za kuchochea machafuko na chuki za kikabila imepokewa kwa hisia tofauti, huku sauti ya chama cha ODM ikiwa kali zaidi kupinga zoezi hilo. Mwandishi wa Radio Tehran wa Mombasa Kenya na ripoti zaidi...
-
ICC: Tunafuatilia karibu matukio ya kisiasa nchini Kenya
Jun 18, 2016 03:37Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imesema inafuatilia kwa karibu matukio ya kisiasa yanayojiri hivi sasa nchini Kenya na imetoa indhari kuwa haitachelea kufungua kesi mpya dhidi ya watenda jinai iwapo nchi hiyo itatumbukia tena katika machafuko ya baada ya uchaguzi kama ya mwaka 2007/2008.
-
Polisi Kenya wawasaili wanasiasa wanatoa matamshi ya chuki
Jun 14, 2016 09:49Polisi nchini Kenya wamewasailia wanasiasa saba wapinzani na wanaounga mkono serikali kwa kosa la kutoa matamshi ya chuki huku uhasama wa kisiasa ukishika kasi nchini humo mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu.
-
UNHCR: Muda zaidi unahitajika kuwahamisha wakimbizi Wasomali nchini Kenya
Jun 13, 2016 22:39Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) Filippo Grandi, amesema serikali ya Kenya inapaswa kulegeza msimamo wake kuhusu muda wa mwisho iliotoa kwa ajili ya kuwarejesha makwao wakimbizi wapatao 350,000 Wasomali walioko nchini humo.