-
Kenya kuwa makao makuu ya Kituo cha Udhibiti wa Magonjwa cha Afrika Mashariki
Jun 12, 2016 00:00Kenya imeteuliwa kuwa makao makuu ya kanda ya Kituo cha Kuratibu Udhibti wa Magonjwa Afrika, CDC-Africa, ili kufuatilia afya ya umma na changamoto katika nchi za Afrika Mashariki.
-
Serikali ya Kenya yaainisha muda wa kuondoka wakimbizi katika kambi ya Daadab
Jun 11, 2016 23:12Serikali ya Kenya imeainisha muhula wa kuondoka maelfu ya wakimbizi wanaoishi kwenye kambi ya Dadaab nchini humo.
-
Muungano wa CORD: Maandamano yako pale pale kila Jumatatu na Alkhamis Kenya
Jun 10, 2016 23:52Muungano wa Cord nchini Kenya umetangaza kuandaa maandamano mapya siku ya Jumatatu na Alhamisi ijayo licha ya kuendelea juhudi za mazungumzo kati yake na serikali kuhusu utata unaohusu Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) nchini humo.
-
Mkuu wa UNHCR azuru Kenya kujadili kurejeshwa nyumbani wakimbizi kutoka Somalia
Jun 10, 2016 09:50Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Wakimbizi UNHCR Filippo Grandi yuko nchini Kenya ili kutathmini hali ya kambi ya wakimbizi ya Dadaab baada ya Kenya kuchukua uamuzi wa kufunga kambi hiyo yenye wakimbizi kutoka Somalia.
-
Somalia: Tuko tayari kuwapokea wakimbizi wa Dadaab
Jun 08, 2016 09:55Rais Hassan Sheikh Mohamoud wa Somalia amesema nchi yake iko tayari kuwapokea raia wake kutoka kambi ya ya wakimbizi ya Dadaab nchini Kenya, kwa shabaha ya kuwapa fursa wakimbizi hao kujenga taifa lao.
-
Kenya yapiga marufuku kwa mara nyingine maandamano ya CORD
Jun 08, 2016 02:26Kwa mara nyingine serikali ya Kenya imepiga marufuku maandamano ya aina yoyote ya wafuasi wa muungano wa CORD unaoongozwa na waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo Raila Odinga, ili kushinikiza viongozi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC kung'atuka madarakani.
-
Watu saba wauawa na kujeruhiwa Kenya
Jun 06, 2016 23:11Mapigano kati ya vikosi vya usalama na waandamanaji katika mji wa Kisumu Kenya yamesababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi wengine sita.
-
Kenya na Uturuki zakubaliana kushirikiana katika kubadilishana taarifa za usalama
Jun 03, 2016 02:53Marais wa Kenya na Uturuki wamekubaliana nchi zao mbili kushirikiana katika kubadilishana taarifa za usalama na za kiintelijinsia kwa lengo la kuzima uwezekano wa kutokea mashambulio ya kigaidi.
-
Kenya yahimiza kufungwa kambi kubwa ya wakimbizi duniani ya Dadaab
Jun 01, 2016 11:08Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya amesema kuwa, kambi ya wakimbizi ya Dadaab iliyoko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo itakuwa imefungwa ifikapo mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu.
-
Wakenya wengine watatu wauliwa na ash Shabab
May 30, 2016 00:05Mkuu wa Jeshi la Polisi la eneo la Pwani nchini Kenya ametangaza habari ya kuuawa raia kadhaa wa nchi hiyo, jana asubuhi.