Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Kenya yasisitiza azma yake ya kuzifunga kambi za wakimbizi za Dadaab na Kakuma

    Kenya yasisitiza azma yake ya kuzifunga kambi za wakimbizi za Dadaab na Kakuma

    May 11, 2016 11:06

    Licha ya mashirika mbalimbali ya kimataifa kuendelea kuitaka Kenya ifikirie upya uamuzi wake wa kutaka kuzifunga kambi za wakimbizi za Dadaab na Kakuma, serikali ya Nairobi imesisitiza kwamba, imeazimia kuzifunga kambi hizo.

  • UN yaikosoa Kenya kwa kupanga kufunga kambi za wakimbizi

    UN yaikosoa Kenya kwa kupanga kufunga kambi za wakimbizi

    May 10, 2016 02:28

    Umoja wa Mataifa umeitaka serikali ya Kenya kufikiria upya mpango wake wa kufunga kambi za wakimbizi za Dadaab na Kakuma.

  • Wapinzani Kenya wakaidi amri na kuandamana kupinga tume ya uchaguzi

    Wapinzani Kenya wakaidi amri na kuandamana kupinga tume ya uchaguzi

    May 09, 2016 10:49

    Wafuasi wa muungano wa upinzani wa Cord nchini Kenya wamekaidi amri ya serikali na kuibua ghasia nje ya makao makuu ya Tume Huru ya Uchaguzi IEBC mjini Nairobi.

  • Madaktari wasio na mpaka wakosoa uamuzi wa Kenya wa kutaka kufunga kambi za wakimbizi

    Madaktari wasio na mpaka wakosoa uamuzi wa Kenya wa kutaka kufunga kambi za wakimbizi

    May 09, 2016 03:14

    Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limekosoa uamuzi wa serikali ya Kenya wa kutaka kufunga kambi ya wakimbizi za Dadaab na Kakuma.

  • Walioaga dunia kwenye mkasa wa kuporomoka jengo Nairobi, Kenya wafikia 49

    Walioaga dunia kwenye mkasa wa kuporomoka jengo Nairobi, Kenya wafikia 49

    May 08, 2016 10:38

    Habari kutoka Nairobi, mji mkuu wa Kenya zinasema idadi ya watu waliopoteza maisha kwenye mkasa wa kuporomoka jengo mtaani Huruma jijini hapo imefikia watu 49, huku familia 191 zilizoathirika zikipewa hifadhi na shirika la Msalaba Mwekundu.

  • Kenya kufunga kambi za wakimbizi kutokana na sababu za kiusalama

    Kenya kufunga kambi za wakimbizi kutokana na sababu za kiusalama

    May 06, 2016 08:48

    Kenya imesema inatathmini kufunga kambi zote za wakimbizi nchini humo zikiwemo za Dadaab na Kakuma zenye idadi kubwa ya raia wa Somalia hivi karibuni.

  • Kenya yasambaratisha mtandao uliotaka kufanya mashambulizi ya biolojia

    Kenya yasambaratisha mtandao uliotaka kufanya mashambulizi ya biolojia

    May 04, 2016 03:23

    Jeshi la polisi la Kenya limesema kuwa, limefanikiwa kusambaratisha mtandao wa madaktari wenye mfungamano na genge la kigaidi la Daesh (ISIS) uliokuwa na nia ya kufanya mashambulizi makubwa ya silaha za biolojia nchini humo.

  • Mtoto wa miezi 6 apatikana hai baada ya siku 3 katika jengo lililoporomoka Nairobi

    Mtoto wa miezi 6 apatikana hai baada ya siku 3 katika jengo lililoporomoka Nairobi

    May 03, 2016 12:02

    Habari kutoka Kenya zinasema kuwa, mtoto wa miezi sita amepatikana akiwa hai bila kujeruhiwa kwenye vifusi vye jengo lililoporomoka katika mtaa wa Huruma jijini Nairobi siku tatu zilizopita.

  • Kenya yatathmini teknolojia ya kuzalisha umeme wa nyuklia

    Kenya yatathmini teknolojia ya kuzalisha umeme wa nyuklia

    May 03, 2016 03:00

    Kenya imetangaza kuanzisha tathmini kuhusu ni teknolojia ipi ya nyuklia itumike ili kujenga kinu cha nyuklia nchini humo.

  • 21 Wathibitishwa kufariki katika jengo lililoporomoka Nairobi

    21 Wathibitishwa kufariki katika jengo lililoporomoka Nairobi

    May 02, 2016 12:26

    Hadi sasa watu 21 wamethibitishwa kupoteza maisha katika jengo lililporomoka kwenye mji mkuu wa Kenya Nairobi siku ya Ijumaa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS