-
Kiongozi Muadhamu atilia mkazo wajibu wa kupambana na wavamizi
Jan 09, 2025 03:21Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesisitizia wajibu wa kupambana na uvamizi wa Marekani nchini Iraq. Ametoa mwito huo wakati alipoonana na Waziri Mkuu wa Iraq na ujumbe alioongozana nao waliokwenda kumtembelea ofisini kwake hapa Tehran jana Jumatano.
-
Wasiwasi wa Washington juu ya ushawishi wa Iran kati ya watetezi wa Palestina huko Marekani
Jul 12, 2024 10:41Harakati ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Marekani iliyotikisa maeneo yote ya hiyo na kusababisha mamia ya maandamano, mikusanyiko na migomo katika vyuo vikuu kulalamikia jinai na uhalifu wa Israel hususan mauaji ya kimbari ya watu wa Gaza imekabiliwa na hasira kali ya serikali ya Washington.
-
Barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa wanachuo wa Marekani wanaotetea Palestina
May 31, 2024 07:28Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika barua aliyowaandikia wanachuo wenye utu wanaotetea wananchi wa Palestina katika vyuo vikuu vya Marekani, ameonyesha mshikamano wake na maandamano ya wanachuo hao dhidi ya uzayuni na kuwataja kuwa sehemu ya mrengo wa muqawama.
-
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Dhamiri zilizoamka zinapinga mauaji ya kimbari ya Wapalestina
Feb 27, 2024 12:42Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amekitaja kilio cha rubani wa Marekani aliyejitoa mhanga kwa kujichoma moto mbele ya ubalozi wa Israel mjini Washington akipinga mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo dhidi ya watu wa Palestina huko Gaza kuwa ni sauti kubwa ya dhamiri zilizoamka nchini Marekani zinazopinga uungaji mkono wa serikali nchi hiyo kwa mauaji ya kimbari ya Wapalestina.
-
Maoni: Wamarekani wanaamini Israel imefanya mauaji ya kimbari Gaza
Feb 09, 2024 02:33Nusu ya Wamarekani wanaamini kuwa, kumefanyika mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Mpango wa mashirika 100 ya Kimarekani wa kukabiliana na ubaguzi wa rangi wa utawala wa Israel
Jun 10, 2023 01:42Mashirika mia moja ya Kimarekani yameanzisha mpango uliopewa jina la "Jamii Zisizo na Ubaguzi wa Rangi" kwa lengo la kusitisha uungaji mkono wa nchi yao kwa utawala wa kibaguzi wa Israel.
-
Wanajeshi 30,000 wa Marekani wamejiua tokea mwaka 2001
Nov 12, 2021 10:55Tokea Septemba 11 mwaka 2001 hadi sasa, zaidi ya wanajeshi 30,000 wa Marekani wamejiua. Hayo yamedokezwa na Cori Bush mbunge wa chama tawala cha Democrat katika Baraza la Wawakilishi la Marekani.
-
Wamarekani waiba shehena nyingine ya mafuta ya Syria
Sep 15, 2021 06:21Wanajeshi magaidi na wavamizi wa Marekani wameiba shehena nyingine ya mafuta ya wananchi wa Syria.
-
Mrengo wa Utawala wa Sheria Iraq: Mchakato wa kuondoka askari wa Marekani uharakishwe
Aug 24, 2021 13:14Mrengo wa Muungano wa Utawala wa Sheria nchini Iraq unaoongozwa na waziri mkuu wa zamani Nouri al Maliki umetilia mkazo udharura wa kuharakishwa mchakato wa askari wa Marekani kuondoka nchini humo.
-
Rais wa Iraq asisitiza kuhusu askari wa Marekani kuondoka nchini humo
Mar 18, 2021 13:17Rais Barham Salih wa Iraq ametangaza kuwa, uamuzi umeshachukuliwa kuhusu kuhitimisha kuwepo kwa vikosi vya jeshi vamizi la Marekani nchini humo.