-
Mshauri wa Kiongozi Muadhamu: Marekani haiwezi kuihadaa Iran kwa pipi
Jan 14, 2021 03:08Mshauri wa ngazi ya juu wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Marekani sharti iiondolee Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo vyote na kwamba Tehran haitakubali kitu kingine ghairi ya hicho.
-
Larijani: Iran itaendelea daima kutetea haki za wananchi madhulumu wa Palestina
Apr 18, 2020 03:04Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itaendelea daima kutetea haki za wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Spika wa Iran akutana na Rais wa Lebanon na Sayyid Nasrullah
Feb 18, 2020 07:52Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Michel Aoun wa Lebanon, Spika wa Bunge la nchi hiyo ya Kiarabu, Nabih Berri na Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah, Sayyid Hassan Nasrullah mjini Beirut.
-
Larijani asisitiza kuendelea uungaji mkono wa Tehran kwa Damascus katika vita dhidi ya magaidi
Feb 17, 2020 07:45Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesisitiza kuendelea uungaji mkono wa Tehran kwa Damascus katika vita dhidi ya magaidi.
-
Larijani: Lengo la 'Muamala wa Karne' ni kuwadhalilisha Waislamu
Jan 28, 2020 11:58Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema madhumuni ya njama za Marekani dhidi ya Wapalestina kwa jina la 'Muamala wa Karne' ni kuwadhalilisha na kuwatweza Waislamu.
-
Iran yasema ikilazimu, itaangalia upya ushirikiano wake na IAEA
Jan 19, 2020 08:04Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amezionya nchi za Ulaya kuwa, Tehran italazimika kuangalia upya ushirikiano wake na Wakala wa Kimataifa wa Niashati ya Atomiki (IAEA) iwapo EU itaendelea kuchukua hatua zisizo za kiadilifu juu ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Larijani: Trump ni nembo ya sura ya kuogofya ya Marekani
Nov 03, 2019 08:01Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema tabia ya Donald Trump ya kufichua sera haribifu zilizofichika za Ikulu ya White House ya Marekani imeweka hadharani sura halisi, mbaya na ya kuogofya ya Washington.
-
Mhimili wa Muqawama; ushindi katika medani ya vita dhidi ya maadui Asia Magharibi
Oct 29, 2019 11:44Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mhimili wa muqawama katika eneo la Asia Magharibi ndiyo sababu ya kushindwa maadui na hivyo kuwafanya waanze kufanya njama dhidi ya harakati ya muqawama na eneo hili la Asia Magharibi.
-
Larijani: Marekani ndiye mchochezi mkuu wa uhasama kati ya Iran na Saudia
Oct 16, 2019 04:36Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haina tatizo lolote wala haipingi mpango wowote wa kupatiwa ufumbuzi mikwaruzano na uhasama uliopo kati yake na Saudi Arabia, lakini Marekani ndiyo kizingiti kikuu katika kuafikiwa jambo hilo.
-
Spika wa Bunge la Iran aghairisha safari yake ya Uturuki baada ya nchi hiyo kuivamia kijeshi Syria
Oct 10, 2019 07:51Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ameghairisha safari aliyokuwa amepanga kufanya nchini Uturuki kufuatia hatua ya nchi hiyo ya kuivamia kijeshi ardhi ya Syria.