-
Mamia ya wahajiri wa Kiafrika waokolewa katika maji ya pwani ya Libya
May 24, 2019 07:15Gadi ya Pwani ya Libya imetangaza habari ya kuokoa mamia ya wahajiri wa Kiafrika katika operesheni mbili za leo Ijumaa nje kidogo ya mji mkuu Tripoli.
-
Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusu hali inavyozidi kuwa mbaya nchini Libya
May 23, 2019 03:43Kuendelea vita nchini Libya kumezidisha machafuko na mgogoro katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika kiasi kwamba Ghassan Salamé, mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amesema katika ripoti yake ya hivi karibuni kabisa kwamba, hatoi tahadhari kuhusu kutokea vita vya ndani na vya umwagaji damu tu, bali anatoa onyo la kusambaratika vipande vipande Libya.
-
Haftar atoa dola milioni 2 kuimarisha uhusiano wa 'Jeshi la Kitaifa la Libya' na Marekani
May 22, 2019 06:07Kamanda wa vikosi vinavyojiita Jeshi la Kitaifa la Libya lenye uhusiano wa karibu na Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) amekodisha shirika moja la kulobi la Marekani kwa shabaha ya kumsaidia kuimarisha uhusiano wake na Marekani.
-
Khalifa Haftar atishia kuziangamiza meli za Uturuki
May 21, 2019 22:51Kamanda wa vikosi vinavyojiiita Jeshi la Kitaifa la Libya amewaamuru wapiganaji wake kuishambulia meli yoyote ya Uturuki ambayo itakaribia katika eneo la pwani ya Libya.
-
Serikali ya Libya kuanzisha operesheni mpya kwa kutumia silaha za Uturuki
May 19, 2019 20:51Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya inayoongozwa na Waziri Mkuu Fayez al-Sarraj imetangaza habari ya kupokea zana mpya za kivita, vifaru na magari ya deraya kwa ajili ya kuyatumia katika operesheni zake dhidi ya wapiganaji wa jenerali muasi Khalifa Haftar.
-
Kuendelea mapigano nchini Libya; tishio kwa usalama wa kimataifa
May 14, 2019 07:22Sambamba na kuendelea mapigano nchini Libya na kupanuka wigo wake, Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Umoja wa Ulaya wametoa taarifa iliyoyataja mashambulio ya jeshi la taifa la Libya dhidi ya mji mkuu Tripoli na viunga vyake kwamba ni tishio kwa amani na usalama wa kimataifa.
-
Gadi ya Pwani Libya yawaokoa Wahamiaji haramu 150
May 12, 2019 22:58Gadi ya Pwani ya Libya imetangaza kuwaokoa takribani wahamiaji haramu wapatao 150 waliokuwa kwenye boti katika Bahari ya Mediterania wakielekea Ulaya.
-
Libya: Trump asitishe uungaji mkono wa kigeni kwa Jenerali muasi Haftar
May 11, 2019 08:27Serikali ya Muafaka wa Kitaifa Libya (GNA), ambayo inatambuliwa kimataifa, imemtaka rais Donald Trump wa Marekani asitishe uungaji mkono wa kigeni kwa jenerali muasi Khalifa Haftar ambaye askari wake wanaendeleza hujuma dhidi ya mji mkuu Tripoli.
-
Baraza la Usalama la UN lataka kusitishwa mapigano Libya
May 11, 2019 03:36Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa mwito wa kusitishwa mapigano nchini Libya, huku likiziasa pande husika kurejea katika meza ya mazungumzo.
-
Makumi ya wahajiri wa Kiafrika waghariki katika pwani ya Tunisia
May 10, 2019 22:30Makumi ya wahajiri wamepoteza maisha katika ajali ya kuzama boti katika pwani ya Tunisia, wakitokea pwani ya Libya.