-
Jeshi la Libya lasonga mbele Sirte, magaidi wa Daesh waendelea kupigwa
Oct 21, 2016 00:29Jeshi la Libya linaloiunga mkono serikali ya umoja wa kitaifa limesonga mbele zaidi katika mji wa Sirte unaotambuliwa kuwa ngome kuu ya kundi la kigaidi la Daesh nchini humo.
-
Mgogoro wa kisiasa waongezeka nchini Libya
Oct 17, 2016 12:20Taasisi ya kulinda usalama iliyoko chini ya amri ya baraza la uongozi wa Libya imetangaza kujitenga na baraza hilo.
-
Umoja wa Mataifa umelaani mashambulizi ya Tripoli Libya
Oct 17, 2016 00:59Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Katika Masuala ya Libya amelaani mashambulizi yaliyofanywa katika majengo ya serikali huko Tripoli mji mkuu wa Libya.
-
Russia yatoa pendekezo la kusuluhisha mgogoro wa Libya
Oct 05, 2016 11:18Russia yapendekeza kuwa msuluhishi katika mgogoro wa Libya
-
Wahajiri 5,600 wanusurika kifo katika pwani ya Libya
Oct 04, 2016 04:25Gadi ya ulinzi wa pwani ya Italia imesema wahajiri wapatao 5,600 wamenusurika kifo katika pwani ya Libya kwenye bahari ya Mediterranean wakielekea bara Ulaya jana Jumatatu; idadi inayotajwa kuwa kubwa zaidi ya wahajiri kuokolewa katika siku moja.
-
Libya yataka kuzidishwa ushirikiano wa kiusalama kati yake na Ufaransa
Sep 28, 2016 04:04Libya imetaka kuzidishwa ushirikiano wa kiusalama na kijeshi kati yake na Ufaransa.
-
Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya ataka kuondolewa vikwazo vya silaha
Sep 24, 2016 01:11Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya ametaka nchi yake iondolewe vikwazo vya silaha
-
Wananchi wa Libya waandamana kumuunga mkono Khalifa Haftar
Sep 17, 2016 10:35Wananchi wa Libya wameandamana katika kona mbalimbali za nchi hiyo kutangaza uungaji mkono wao kwa Jenerali Khalifa Haftar, mkuu wa jeshi la nchi hiyo mashariki mwa nchi hiyo.
-
Mamia ya wahajiri haramu waokolewa katika fukwe za Libya
Sep 15, 2016 02:57Maafisa wa gadi ya ulinzi wa fukwe za Italia wametangaza habari ya kuokolewa amia ya wahajiri haramu katika fukwe za Libya.
-
Vikosi vitiifu kwa Jenerali Haftar vyashambulia bandari za mafuta Libya
Sep 11, 2016 09:43Vikosi vitiifu kwa Jenerali Khalifa Haftar kamanda wa kijeshi wa mashariki mwa Libya vimezishambulia bandari za mafuta nchini humo na kukabiliana na walinzi wa vituo hivyo.