-
HRW, AI: Polisi ya Kenya imeua watu zaidi ya 67 katika maandamano
Oct 16, 2017 04:47Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Human Rights Watch na Amnesty International yamesema polisi ya Kenya imeua watu wasiopungua 50 katika maandamano ya upinzani ya kushinikiza mabadiliko kwenye Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC, kuelekea uchaguzi wa marudio wa Oktoba 26.
-
Wapinzani Kenya waendeleza maandamano ya kutaka mabadiliko katika tume ya uchaguzi
Oct 15, 2017 11:32Muungano mkuu wa upinzani Kenya, NASA, leo umeendeleza maandamano ya kutaka mabadiliko katika Tume Huru ya Uchaguzi IEBC.
-
Mamia waandamana Morocco kutaka kuachiwa huru wanaharakati
Oct 09, 2017 04:43Mamia ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano katika mji mkuu wa kibiashara wa nchi hiyo Casablanca, kushinikiza kuachiwa huru wanaharati wa nchi hiyo waliokamatwa katika maandamano mengine mwaka mmoja uliopita katika mji mmoja ulioko kaskazini mwa nchi, ambao wakazi wake wanadai kutengwa na kubaguliwa.
-
Waisraeli waandamana Tel Aviv dhidi ya ufisadi wa Netanyahu
Oct 08, 2017 04:20Wakazi wa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu utawala wa Kizayuni wameandamana huko Tel Aviv wakitaka kushughulikiwa kesi ya ufisadi inayomkabili Waziri Mkuu wa utawala huo ghasibu.
-
Maelfu ya Watogo waandamana dhidi ya rais wa nchi hiyo
Oct 06, 2017 01:11Maelfu ya raia wa Togo wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Lome dhidi ya Rais Faure Gnassingbé wa nchi hiyo.
-
Wanawake waandamana Mali kupinga kuwepo majeshi ya kigeni nchini humo
Oct 03, 2017 22:52Wanawake wa mji wa Kidal ulioko kaskazini mwa Mali wameandamana kulalamikia na kupinga kuwepo majeshi ya kigeni hususan ya Ufaransa nchini humo.
-
Watu 17 wauawa katika sherehe za kujitangazia uhuru Cameroon
Oct 03, 2017 04:31Kwa akali watu 17 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa na askari wa jeshi la Cameroon, wakati wa maandamano ya kushinikiza kujitenga maeneo ambayo wakazi wake wanazungumza Kiingereza, katikati mwa nchi.
-
Maelfu waandamana Ethiopia katika kumbukumbu ya mauaji ya Bishoftu
Oct 02, 2017 10:58Maelfu ya raia wa Ethiopia wameandamana katika kumbukumbu ya mauaji ya Bishoftu na kupiga nara kuilaani serikali ya nchi hiyo inayoongozwa na Waziri Mkuu Hailemariam Desalegn.
-
Watu 12 wauawa na kujeruhiwa katika maandamano ya 'kujitenga' Cameroon
Oct 02, 2017 00:57Kwa akali watu sita wameuawa na wengine sita wamejeruhiwa na askari wa jeshi la Cameroon, wakati wa maandamano ya kushinikiza kujitenga maeneo ambayo wakazi wake wanazungumza Kiingereza, katikati mwa nchi.
-
Waafrika Kusini waandamana kulaani ufisadi chini ya Rais Zuma
Sep 27, 2017 10:43Maelfu ya wananchi wa Afrika Kusini wamefanya maandamano katika mji wa Cape Town kudhihirisha ghadhabu zao kutokana na kashfa mbalimbali za ufisadi, ukosefu wa ajira na kuzorota uchumi chini ya utawala wa Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.