-
Wabahrain waandamana kutaka kuachiwa huru mwanaharakati
Nov 15, 2016 04:24Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano ya kushinikiza kuachiwa huru mwanaharakati mashuhuri ambaye alikamatwa na vyombo vya usalama vya Aal-Khalifa mwezi uliopita.
-
Maelfu ya wanawake kuandama baada ya kuapishwa Donald Trump
Nov 14, 2016 12:00Wanawake zaidi ya 66,000 wa Marekani wametangaza kuwa wapo tayari kushiriki katika maandamano makubwa yaliyopangwa kufanyika Januari 21 mwakani, siku moja baada ya kuanza kazi rais mteule wa nchi hiyo Donald Trump katika Ikulu ya White House.
-
Mamia wakamatwa Misri kwa 'kuitisha maandamano'
Nov 14, 2016 04:40Vyombo vya usalama nchini Misri vimewasweka mbaroni mamia ya wafuasi wa harakati ya Ikhwanul Muslimin, kwa tuhuma za kuitisha maandamano dhidi ya serikali.
-
Malalamiko ya wananchi yaongezeka nchini Sudan
Nov 06, 2016 09:56Malalamiko ya wananchi yameongezeka mjini Khartoum Sudan baada ya serikali ya nchi hiyo kupandisha bei ya nishati.
-
Polisi Kongo DR wazima maandamano ya wapinzani Kinshasa
Nov 06, 2016 04:04Maafisa wa polisi wa kupambana na ghasia wametumia mabomu ya kutoa machozi kuzima maandamano ya wapinzani katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa.
-
Hali yazidi kuwa tete Benin, maandamano yamechachamaa
Nov 05, 2016 11:33Maandamano ya kumuunga mkono mgombea wa zamani wa urais wa Benin yamechachamaa katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Wanaharakati wa haki za binadamu waandamana Ubelgiji dhidi ya Aal Saud
Oct 31, 2016 00:55Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wameandamana mbelel ya ubalozi wa Saudi Arabia huko Brussels mji mkuu wa Ubelgiji kulalamikia na kupinga jinai za utawala wa Aal Saud.
-
Upinzani DRC: Tutaitisha mgomo wa kitaifa na maandamano mengine
Oct 16, 2016 10:25Vyama vya upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo vimewataka wafanyakazi wote kushirikia mgomo wa kitaifa na maandamano ya nchi nzima siku ya Jumatano, kumshinikiza Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo aachie ngazi mwishoni mwa muhula wake wa pili unaomalizika mwishoni mwa mwaka huu.
-
Maandamano yapigwa marufuku Harare mji mkuu wa Zimbabwe
Sep 13, 2016 09:17Duru za habari kutoka Zimbabwe zimearifu kuhusu kupigwa marufu kufanyika maandamano ya aina yoyote dhidi ya serikali katika mji mkuu wa nchi hiyo Harare.
-
Polisi yatumia mabomu kuzima maandamano Zimbabwe
Aug 17, 2016 09:43Maafisa wa polisi nchini Zimbabwe wametumia mabomu ya kutoa machozi na maji yenye kuwasha kuzima maandamano ya makumi ya watu wanaopinga azma ya Benki Kuu nchini humo ya kufufua matumizi ya noti za nchi hiyo.