Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mapigano

  • Watu 78 wamejeruhiwa katika ghasia za kikabila kusini mwa Tunisia

    Watu 78 wamejeruhiwa katika ghasia za kikabila kusini mwa Tunisia

    Jun 10, 2017 23:56

    Gavana wa eneo la Qibli kusini mwa Tunisia ametangaza kuwa watu 78 wamejeruhiwa katika mapigano ya kikabila yaliyotokea jana katika eneo hilo.

  • 47 wauawa katika mapigano kati ya makundi hasimu Libya

    47 wauawa katika mapigano kati ya makundi hasimu Libya

    May 28, 2017 09:17

    Kwa akali watu 47 wameuawa katika mapigano yanayoendelea katika mji mkuu wa Libya, Tripoli, kati ya wapiganaji wa makundi mawii hasimu ya kisiasa.

  • Wasiwasi wa kuongezeka idadi ya wakimbizi DRC, wazidi kuwa mkubwa

    Wasiwasi wa kuongezeka idadi ya wakimbizi DRC, wazidi kuwa mkubwa

    May 21, 2017 03:11

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, makumi ya maelfu ya watu wamekimbia makazi yao katikati mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kukimbilia kusini mwa nchi hiyo.

  • Makumi wauawa katika mapigano ya makundi hasimu Libya

    Makumi wauawa katika mapigano ya makundi hasimu Libya

    May 19, 2017 03:00

    Makumi ya watu wameuawa baada ya vikosi tiifu kwa makundi hasimu ya kisiasa nchini Libya kukabiliana huko kusini mwa nchi.

  • Mapigano yaendelea CAR, watano wauawa na makumi wajeruhiwa

    Mapigano yaendelea CAR, watano wauawa na makumi wajeruhiwa

    May 18, 2017 02:51

    Mapigano yameendelea kushuhudiwa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati ambapo watu wasiopungua watano wanaripotiwa kuuawa na makumi ya wengine wamejeruhiwa.

  • Jeshi la DRC laangamiza ngome ya wanamgambo wa Mai-Mai

    Jeshi la DRC laangamiza ngome ya wanamgambo wa Mai-Mai

    May 17, 2017 09:19

    Mapigano makali yameripotiwa kutokea baina ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na wanamgambo wa Mai-Mai katika mkoa wa Kivu Kusini ulioko mashariki mwa nchi hiyo ambapo jeshi limefanikiwa kuangamiza ngome moja ya waasi hao.

  • Mapigano yashtadi kati ya makundi ya kigaidi mjini Idlib nchini Syria

    Mapigano yashtadi kati ya makundi ya kigaidi mjini Idlib nchini Syria

    May 13, 2017 23:10

    Sambamba na kukaribia kwa duru mpya ya mazungumzo ya Geneva kuhusiana na mgogoro wa Syria, mapigano yameshtadi kati ya makundi ya wabeba silaha katika mji wa Idlib, kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.

  • Mapigano yaibuka kati ya jeshi la Kongo DR na wanamgambo mkoa wa Ituri

    Mapigano yaibuka kati ya jeshi la Kongo DR na wanamgambo mkoa wa Ituri

    May 09, 2017 09:19

    Mapigano makali yameripotiwa kujiri kati ya jeshi la serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na wanamgambo, katika mkoa wa Ituri kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Magaidi wakufurishaji wauana katika viunga vya Damascus

    Magaidi wakufurishaji wauana katika viunga vya Damascus

    May 09, 2017 09:09

    Mapigano makali yameendelea kushuhudiwa katika safu ya makundi ya kigaidi na ukufurishaji kufuatia kushadidi tofauti baina ya genge la Jaishul-Islam na Jab'hatu Nusra eneo la Ghouta al-Sharqiya la mji mkuu wa nchi hiyo Damascus.

  • AU yaonyesha masikitiko yake makubwa juu ya kuendelea mapigano Sudan Kusini

    AU yaonyesha masikitiko yake makubwa juu ya kuendelea mapigano Sudan Kusini

    May 01, 2017 09:36

    Umoja wa Afrika umeonyesha wasi wasi wake mkubwa kutokana na hali mabaya nchini Sudan Kusini na kuendelea mapigano sambamba na mashambulizi dhidi ya raia wa kawaida.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS