-
Kongamano la 'amani na uchaguzi' Libya laakhirishwa kutokana na mapigano
Apr 10, 2019 03:16Mkutano wa kujadili mgogoro wa Libya na maandalizi ya uchaguzi ujao nchini humo uliotazamiwa kufanyika kati ya Aprili 14 na 16 magharibi mwa nchi hiyo yenye utajiri wa mafuta umeakhirishwa kutokana na kushadidi mapigano kati ya vikosi vya Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa na vile vinavyoongozwa na Jenerali Khalifa Haftar.
-
Idadi ya waliouawa katika mapigano Libya yafikia watu 32
Apr 08, 2019 03:28Idadi ya watu waliouawa katika mapigano kati ya vikosi vya Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa na vile vinavyoongozwa na Jenerali Khalifa Haftar nchini Libya imeongezeka na kufikia watu 32.
-
Wakazi wa Al Mahrah, Yemen wapambana vikali na vibaraka wa Saudia
Mar 13, 2019 10:20Watu wa makabila ya mkoa wa Al Mahrah nchini Yemen, wamepambana vikali na msafara wa malori yaliyobeba zana za kijeshi za Saudi Arabia.
-
Wimbi jipya la wakimbizi laibuka kaskazini mashariki mwa Nigeria kufuatia kuongezeka machafuko
Jan 24, 2019 00:36Msemaji wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa, kufuatia kuongezeka machafuko kaskazini mashariki mwa Nigeria, kwa mara nyingine tena makumi ya maelfu ya raia wamelazimika kuwa wakimbizi katika maeneo hayo.
-
Kushadidi mivutano baina ya Russia na Ukraine; vikwazo na makabiliano ya kijeshi
Dec 26, 2018 05:05Tangu mwaka 2014 wakati hatamu za uongozi wa nchi ya Ukraine ziliposhikwa na serikali yenye mielekeo ya Kimagharibi na kuunganishwa eneo la Cremia na ardhi ya Russia, uhusiano wa Moscow na Kiev uliporomoka sana na kutawaliwa na mivutano mingi.
-
Saba wauawa katika mapigano ya kikabila Ethiopia
Dec 21, 2018 11:08Watu 7 wameuawa katika mapigano ya kikabila yaliyotokea katika jimbo la Amhara, kaskazini mwa Ethiopia.
-
Umoja wa Mataifa: Tuna wasiwasi na hali ya wakimbizi DRC
Dec 15, 2018 23:15Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limeelezea wasiwasi mkubwa lilionao kuhusiana na hali mbaya wanayokabiliwa nayo wakimbizi zaidi ya milioni moja katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Polisi ya Guinea Conakry yatumia gesi ya kutoa machozi kukabiliana na waandamanaji
Oct 24, 2018 04:18Polisi ya Guinea Conakry imetumia mabomu ya kutoa machozi kukabiliana na maandamano dhidi ya serikali ya nchi hiyo.
-
Mahasimu wakubaliana kusitisha vita vilivyoua 117 Tripoli, Libya
Sep 26, 2018 23:30Makundi mawili hasimu ya waasi nchini Libya yamekubaliana kusitisha mapigano yaliyopelekea kuuawa makumi ya watu katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
-
Ripoti: Mapigano nchini Sudan Kusini yameua watu laki 4
Sep 26, 2018 10:16Ripoti mpya inasema watu karibu laki nne wameuawa katika mapigano ya kikabila nchini Sudan Kusini.