-
Licha ya kufikiwa maafikiano ya kusitisha vita, mapigano yaanza tena Sudan Kusini
Sep 25, 2018 10:40Mapigano kati ya vikosi vya jeshi la serikali ya Sudan Kusini na vya kundi kubwa zaidi la waasi yameanza tena kaskazini mwa nchi hiyo baada ya kupita wiki mbili tangu pande hizo mbili zisaini makubaliano ya usitishaji vita.
-
Mapigano yaanza tena karibu na matangi ya mafuta huko Tripoli, Libya
Sep 23, 2018 23:27Duru za kiusalama za Libya zimetangaza habari ya kuanza tena mapigano kandokando ya matangi ya mafuta huko Tripoli mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Mapigano yaanza tena katika mji mkuu wa Libya, Tripoli
Aug 29, 2018 23:48Mapigano yameanza tena katika mji mkuu wa Libya Tripoli baina ya pande zinazozozana nchini humo baada ya usitishaji vita wa muda mfupi.
-
Askari usalama wa Saudia wafyatuliana risasi; 5 waaga dunia na kujeruhiwa
Jul 15, 2018 23:34Askari usalam watano wa Saudi Arabia wamepoteza maisha na kujeruhiwa kufuatia kujiri mapigano baina ya askari hao katika kituo kimoja cha upekuzi katika mpaka wa Najran kusini mwa nchi hiyo.
-
7 wauawa katika makabiliano kati ya jeshi la Uganda na Kongo DR
Jul 06, 2018 08:53Askari wanne na raia watatu wa Uganda wameripotiwa kuuawa katika mapigano makali baina ya vikosi vya majini vya Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika maji ya Ziwa Albert.
-
Watu 10 wauawa katika mapigano ya kikabila magharibi mwa Ethiopia
Jun 29, 2018 03:06Watu wasiopungua kumi wameuawa katika mapigano ya kikabila yaliyotokea magharibi mwa Ethiopia.
-
Kutowezekana kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Yemen kwa mtutu wa bunduki
Jun 27, 2018 22:06Baraza la Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Umoja wa Ulaya limesisitiza kuwa, mgogoro wa Yemen hauwezi kupatiwa ufumbuzi kwa njia za kijeshi na kwamba, ufumbuzi pekee ni kupatikana amani ya kudumu kupitia njia ya mazungumzo.
-
Idadi ya watu waliouawa katika mapigano ya kikabila Nigeria yapindukia 200
Jun 27, 2018 09:08Gavana wa jimbo la Plateau lililoko katikati mwa Nigeria amesema idadi ya watu waliouawa katika mapigano ya kikabila yaliyofanyika mwishoni mwa wiki imepindukia watu 200.
-
Watu kadhaa wauawa na kujeruhiwa katika mapigano mapya kusini mwa Libya
May 12, 2018 09:39Watu kadhaa wameuawa na kujeruhiwa katika mapigano mapya yaliyotokea katika mji wa Sabha, kusini magharibi mwa Libya.
-
Papa Francis atoa wito wa kusitishwa machafuko katika Jamhuri ya Afrika ya Kati
May 06, 2018 22:27Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ametoa wito wa kukomeshwa mapigano, machafuko pamoja na vitendo vya utumiaji mabavu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.