Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mapigano

  • Mashambulizi mapya yasababisha kuuawa askari 2 na magaidi 16 Sinai, Misri

    Mashambulizi mapya yasababisha kuuawa askari 2 na magaidi 16 Sinai, Misri

    Mar 11, 2018 12:47

    Wimbi jipya la mapigano katika Rasi ya Sinai nchini Misri limepelekea kuuawa wapiganaji 16 wa kundi la kigaidi na wanajeshi wawili wa serikali.

  • Watu 22 wauawa Kongo katika mapigano ya kikabila

    Watu 22 wauawa Kongo katika mapigano ya kikabila

    Feb 27, 2018 10:37

    Kwa akali watu 22 wameuawa kwenye mapigano ya kikabila mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Watu 30 wauawa katika mapigano ya kikabila Kongo DR

    Watu 30 wauawa katika mapigano ya kikabila Kongo DR

    Feb 05, 2018 23:46

    Watu zaidi ya 30 wameuawa katika mapigano ya kikabila yaliyotokea katika mkoa wa Ituri huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Mapigano mapya yaripotiwa karibu na mji mkuu wa Sudan Kusini

    Mapigano mapya yaripotiwa karibu na mji mkuu wa Sudan Kusini

    Jan 06, 2018 03:47

    Mapigano mapya kati ya jeshi na waasi yameripotiwa karibu na mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba, siku chache baada ya kuvurugika kwa makubaliano ya amani yaliyosainiwa kati ya pande hasimu za kisiasa mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.

  • Mapigano yaanza tena katika Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Mapigano yaanza tena katika Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Nov 26, 2017 09:47

    Duru za habari zinaripoti kutoka katika Jamhuri ya Afrika ya Kati kwamba, mapigano makali yamezuka tena katika nchi hiyo na kuzusha wasiwasi mkubwa miongoni mwa raia.

  • Mapigano yaendelea kaskazini mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Mapigano yaendelea kaskazini mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Nov 05, 2017 00:07

    Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) imeripoti kuwa mapigano makali yangali yanaendelea katika mkoa wa Ouham kaskazini mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • Watu 16 wauawa katika mapigano mashariki mwa Kongo DR

    Watu 16 wauawa katika mapigano mashariki mwa Kongo DR

    Oct 03, 2017 04:42

    Kwa akali wanachama 16 wa kundi la waasi wa Mai-Mai wameuawa katika mapigano na maafisa usalama, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Kugeuka bunge la Uganda uwanja wa kurushiana makonde

    Kugeuka bunge la Uganda uwanja wa kurushiana makonde

    Sep 28, 2017 23:04

    Mpango wa kuondolewa ukomo wa umri wa rais kwa ajili ya kumuwezesha Rais Yoweri Museven wa Uganda kugombea tena katika uchaguzi wa rais ujao, umepelekea bunge la nchi hiyo kukumbwa na hali ya mchafukoge.

  • Watu 25 wauawa na kujeruhiwa katika mapigano Sabratha, Libya

    Watu 25 wauawa na kujeruhiwa katika mapigano Sabratha, Libya

    Sep 20, 2017 09:30

    Kituo cha operesheni dhidi ya kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) kimeelezea habari ya kuendelea mapigano makali kati ya askari wanaosimamiwa na Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo na askari wanaoitwa 'Wanamapambano dhidi ya Daesh' chini ya komandi ya Khalifa Haftar, kamanda wa jeshi la kitaifa la nchi hiyo.

  • Mayahudi wa Orthodox waliokataa kujiunga na jeshi wapambana na askari wa Israel katika mji wa Quds

    Mayahudi wa Orthodox waliokataa kujiunga na jeshi wapambana na askari wa Israel katika mji wa Quds

    Sep 18, 2017 03:27

    Hatua ya mahkama kuu ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kufuta msamaha uliokuwa unawaruhusu Mayahudi wa Orthodox kutohudumu jeshini, imelifanya kundi moja la Mayahudi hao kufanya maandamano na kuanza kupambana vikali na askari wa Israel katika mji wa Quds unaokaliwa na utawala huo khabithi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS