-
Wizara ya Ulinzi ya Misri: Tumeua magaidi 65 Sinai Kaskazini
Apr 02, 2016 11:58Wizara ya Ulinzi ya Misri imetangaza kuwa, vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo vimeua magaidi wasiopungua 65 katika mkoa wa Sinai Kaskazini.
-
Misri yamfunga kifungo cha nyumbani Hisham Ganinah
Apr 01, 2016 12:26Duru za habari nchini Misri zimearifu kuwa, Mkuu wa Idara ya Mahesabu ya Taifa aliyeuzuliwa siku chache zilizopita na Rais Abdel Fattah el-Sisi, amewekwa katika kizuzi cha nyumbani nchini humo.
-
Aliyeteka nyara ndege ya Misri ajisalimisha kwa polisi ya Cyprus
Mar 29, 2016 10:13Wizara ya Mambo ya Nje ya Cyprus imesema kuwa, Seifuddin Mustafa, raia wa Misri aliyeteka nyara ndege ya abiria ya EgyptAir hatimaye amejisalimisha kwa vyombo vya usalama katika uwanja wa ndege wa Larnaca nchini Cyprus, baada ya masaa sita ya utekaji nyara.
-
Masalafi wapigwa marufuku kutoa mihadhara misikitini Misri
Mar 27, 2016 22:29Wizara ya Waqfu ya Misri imetangaza kuwa imewapiga marufuku masalafi na wakufurishaji kupanda kwenye mimbari za misikiti kadhaa ya nchi hiyo na kutoa mihadhara ya kidini.
-
Takwa la Wamisri la kuondolewa madarakani Rais wa Misri el-Sisi
Mar 27, 2016 22:27Kwa mara nyingine tena raia wa Misri wamefanya maandamano ya kutaka kuondolewa madarakani Rais Abdel Fattah el-Sisi wa nchi hiyo. Wamisri katika mji wa Minya na kufanya maandamano, walimtaka rais huyo kuondoka madarakani mara moja.
-
Misri yatoa sharti kwa Hamas la kufanikisha maridhiano ya Wapalestina
Mar 27, 2016 10:03Gazeti la Ra'yul-Yaum linalochapishwa London, Uingereza limeripoti kuwa serikali ya Misri imetoa masharti kwa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ili kutekeleza maombi ya harakati hiyo.
-
El-Helbawy: Wanaowafitinisha Masuni na Mashia wana akili za kigomvi
Mar 26, 2016 23:35Mjumbe wa Baraza la Taifa la Haki za Binaadamu nchini Misri, Kamal El-Helbawy amesema kuwa, wale wanaozusha fitna baina ya Waislamu wa Kisuni na Kishia, wana akili zilizojengeka juu ya ugomvi.
-
Makubaliano ya ushirikiano katika vita dhidi ya ugaidi barani Afrika
Mar 26, 2016 08:45Mawaziri wa Ulinzi na viongozi wa ngazi ya juu wa nchi 27 za Kiarabu na Kiafrika jana Ijumaa walifikia makubaliano katika mkutano uliofanyika Sharam-Sheikh nchini Misri kuhusu kuimarisha ushirikiano baina yao katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Kikao cha pamoja cha nchi za Kiarabu na Afrika huko Sharam-Sheikh Misri
Mar 24, 2016 10:35Mawaziri wa Ulinzi wa nchi 27 za Kiarabu na Kiafrika wameanza kikao cha siku mbili katika mji wa Sharam-Sheikh nchini Misri kwa lengo la kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na kuendesha mapambano dhidi ya ugaidi.
-
Rais wa Misri alifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri
Mar 23, 2016 21:25Rais Abdel Fattah al Sisi wa Misri amelifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri na kuwateua mawaziri kumi wapya.