-
Marekani yakiri kuhusika na shambulizi dhidi ya msikiti nchini Syria
May 05, 2017 09:07Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) hatimaye imekiri kuwa ndege za kijeshi za US zilitekeleza shambulizi a anga dhidi ya msikiti mmoja nchini Syria ambapo makumi ya watu waliuawa.
-
Wanasiasa wa chama tawala India kizimbani kwa kuchochea kubomolewa msikiti
Apr 19, 2017 10:55Mahakama ya Juu nchini India imetoa hukumu kwamba wanasiasa wa chama tawala nchini humo cha Bharatiya Janata Party (BJP) wanapaswa kupandishwa kizimbani kwa kuhusika na kitendo cha kubomolewa msikiti wa kihistoria nchini humo.
-
HRW yalaani shambulizi la Marekani dhidi ya msikiti nchini Syria
Apr 18, 2017 11:03Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limelaani shambulizi la anga la Marekani dhidi ya msikiti mmoja nchini Syria mwezi uliopita, ambapo makumi ya watu waliuawa.
-
Waislamu nchini Ufaransa waandamana kulalamikia kufungwa misikiti kadhaa
Apr 15, 2017 22:21Waislamu nchini Ufaransa wameandamana kulalamikia siasa za chuki dhidi ya Uislamu na kufungwa misikiti kadhaa ndani ya nchi hiyo, kunakofanywa na serikali.
-
Makumi ya Waislamu wajeruhiwa baada ya msikiti kuchomwa moto Algeria
Apr 15, 2017 09:14Makumi ya Waislamu nchini Algeria wamejeruhiwa kwa moto, baada ya msikiti waliokuwa wakishwali ndani yake kuchomwa moto makusudi.
-
Israel yaamuru kubomolewa Msikiti Ukingo wa Magharibi
Apr 14, 2017 03:17Utawala haramu wa Israel umetoa amri ya kubomolewa msikiti katika eneo linalokaliwa kwa mabavu la Quds Mashariki kwa madai kwamba msikiti huo ulijengwa bila ya kupata vibali.
-
Maadui wa Waislamu washambulia msikiti mwingine nchini Marekani
Mar 17, 2017 00:27Vyombo vya habari vya nchini Marekani vimeripoti habari ya kushambuliwa msikiti mwingine, kusini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la Syria lakomboa misikiti mitatu toka mikononi mwa Daesh
Mar 15, 2017 03:38Jeshi na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Syria vimekomboa misikiti mitatu iliyokuwa chini ya udhibiti wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, mashariki mwa mji wa Damascus.
-
Msikiti mwingine wachomwa moto Marekani, matamshi ya chuki ya Trump yanaendela kufanya kazi
Feb 25, 2017 03:14Kundi la waokoaji katika mji wa Hillsboro kwenye jimbo la Florida nchini Marekani wametangaza kuwa Msikiti na Kituo cha Kiislamu cha New Tampa cha mji huo kimechomeka kwa moto na kwamba ushahidi unaonesha uhalifu huo umefanyika kwa makusudi.
-
Misikiti 91 imeshambuliwa na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu Ujerumani
Feb 12, 2017 03:48Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani imesema misikiti 91 na vituo vya dini ya Kiislamu vilishambuliwa nchini humo mwaka jana pekee 2016.