-
Ongezeko la vitendo vya kigaidi lapelekea raia wa Msumbiji 310,000 kuhama makazi yao
Sep 23, 2020 13:20Ongezo la vitendo vya uasi vya wanamgambo wenye silaha kaskazini mwa Msumbiji limesababisha mamia ya maelfu ya watu kuyahama makazi yao.
-
Amnesty: Msumbiji inawatesa na kuwanyanyasa washukiwa wa vitendo vya uasi
Sep 10, 2020 06:47Shirika la Msamaha Duniani, Amnesty International, limetangaza kuwa askari jeshi wa serikali ya Msumbiji wanawatesa wanamgambo wanaoshukiwa kufanya mashambulizi katika mkoa wa Cabo Delgado nchini humo.
-
Afrika Kusini: Tupo tayari kuisaidia Msumbiji iliyokumbwa na mashambulizi ya magaidi
Sep 03, 2020 11:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amesemam kuwa nchi hiyo iko tayari kuisaidia Msumbiji iliyoathiriwa na mashambulizi ya wanamgambo wenye mfungamano na kundi la Daesh yaani ISIS.
-
Msumbuji yachukua uwenyekiti wa SADC
Aug 18, 2020 03:37Tanzania imekabidhi Msumbiji uwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika, SADC huku jumuiya hiyo ikiadhimisha miaka 40 tangu kuasisiwa kwake.
-
Kampuni ya Msumbiji: Shehena ya ammonium nitrate iliyosababisha mlipuko Beirut ilikuwa mali yatu
Aug 08, 2020 13:36Kampuni moja ya kutengeneza baruti ya Msumbiji imetangaza kuwa, shehena ya mzigo iliyokuwa imesimamishwa katika bandari ya Beirut ambayo imesababisha mlipuko wa tarehe 4 Agosti ilikuwa mali ya kampuni hiyo.
-
Maafisa usalama wa Msumbiji waua magaidi 50 Cabo Delgado
May 15, 2020 12:26Waziri wa Mambo ya Ndani wa Msumbiji amesema maafisa usalama wa nchi hiyo wamefanikiwa kuwaangamiza magaidi 50 ndani ya siku chache zilizopita katika eneo la kaskazini la Cabo Delgado.
-
Magaidi 129 wameuawa ndani ya mwezi mmoja na maafisa usalama Msumbiji
Apr 29, 2020 11:12Waziri wa Mambo ya Ndani wa Msumbiji ametangaza habari ya kuuawa makumi ya wanachama wa magenge ya kigaidi kaskazini mwa nchi katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita.
-
Makumi ya wanakijiji wauawa na magaidi kaskazini mwa Msumbiji
Apr 22, 2020 12:57Jeshi la Polisi la Msumbiji limetangaza habari ya kuuawa makumi ya watu katika shambulizi jipya la kigaidi lililotokea huko kaskazini mwa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.
-
Kampuni ya Total ya Ufaransa inatuhumiwa kueneza virusi vya Corona nchini Msumbiji
Apr 18, 2020 00:42Maafisa Afya wa Msumbiji wamesema kuwa kampuni ya mafuta ya Total ya Ufaransa imehusika kueneza maambukizi ya virusi vya corona nchini humo.
-
"Wahajiri" 60 wapatikana wameaga dunia ndani ya lori Msumbiji
Mar 26, 2020 11:27Miili zaidi ya 60 imepatikana ndani ya lori la mizigo katika mkoa wa Tete, kaskazini magharibi mwa Msumbiji.