-
Mafuriko yaua makumi ya watu nchini Niger
Sep 01, 2024 06:44Mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa yamesababisha vifo vya watu 20 na kujeruhi makumi ya wengine katika eneo la Maradi, kusini mwa Niger.
-
Ujerumani yaondoa wanajeshi wake wa mwisho Niger baada ya kutimuliwa
Aug 31, 2024 10:59Ujerumani imeviondoa vikosi vyake vya kijeshi kutoka nchi ya Niger katika eneo lenye machafuko la Sahel barani Afrika.
-
Kituo cha mwisho cha jeshi la Marekani nchini Niger chafungwa
Aug 05, 2024 10:21Kambi ya mwisho ya kijeshi ya Marekani nchini Niger imekabidhiwa rasmi leo kwa nchi hiyo ya Afrika.
-
DRC yaanza kuachia huru wafungwa kupunguza msongamano katika jela kuu ya Kinshasa
Jul 29, 2024 02:55Wafungwa wapatao 7,000 wataachiliwa huru kwa masharti kutoka kwenye jela kuu ya Makala iliyoko katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa katika jitihada za kupunguza msongamano wa wafungwa wanaoshikiliwa katika jela hiyo.
-
Serikali ya Niger yatangaza maadhimisho ya mapinduzi kuwa ni "Sikukuu ya Kitaifa"
Jul 24, 2024 02:35Serikali ya kijeshi ya Niger imetangaza Julai 26 kuwa ni Sikukuu ya Kitaifa itakayokuwa ikiadhimishwa kila mwaka nchini humo kusherehekea matendo ya kizalendo ya watu wa Niger.
-
Magaidi 6 wauliwa na jeshi la Niger magharibi mwa nchi
Jul 12, 2024 06:38Kwa uchache magaidi sita wameuliwa na vikosi vya ulinzi na usalama vya Niger karibu na kijiji cha Abdou Gangani katika mkoa wa magharibi wa nchi hiyo wa Tillabery.
-
Kupasishwa mpango wa kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini Niger
Jul 06, 2024 06:48Baada ya miezi minne, serikali ya Marekani imetangaza kwamba vikosi vyake vyote vya kijeshi vitaondoka nchini Niger hivi karibuni.
-
Makumi ya askari wauawa katika shambulio la kigaidi Niger
Jun 26, 2024 11:50Askari wasiopungua 20 wa jeshi la Niger wameuauwa katika shambulio la 'muungano wa makundi ya kigaidi' magharibi mwa nchi hiyo.
-
Niger yaifutia leseni kampuni ya fueli nyuklia ya Ufaransa
Jun 21, 2024 07:44Niger imebatilisha kibali cha kuliruhusu shirika moja la nishati la Ufaransa kuendelea kuzalisha fueli nyuklia katika moja ya migodi mikubwa zaidi ya urani duniani.
-
Waziri wa Biashara na Viwanda wa Niger asisitiza juu ya kuimarisha uhusiano na Iran
May 03, 2024 10:43Waziri wa Biashara na Viwanda wa Jamhuri ya Niger amesisitiza kuhusu kuimarishwa uhusiano baina ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyanja mbalimbali zikiwemo za kiuchumi.