-
Nigeria yasisitiza kurejeshwa uthabiti katika maeneo ya mpaka na Cameroon
Aug 02, 2016 11:16Rais wa Nigeria amesisitiza kurejeshwa uthabiti katika maeneo ya mpaka wa nchi hiyo na Cameroon.
-
Ripoti: Askari walioua Waislamu Nigeria washtakiwe
Aug 02, 2016 03:00Jopo la uchunguzi lililotwika jukumu la kuchunguza mauaji ya Waislamu kaskazini mwa Nigeria limekiri kuwa jeshi la nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika liliuawa Waislamu zaidi ya 300 katika mji wa Zaria jimbo la Kaduna.
-
Umoja wa Mataifa wasimamisha kwa muda utoaji misaada ya kibinadamu Nigeria
Jul 29, 2016 03:44Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, umesimamisha kwa muda shughuli zake za utoaji misaada ya kibinaadamu nchini Nigeria.
-
Nigeria yasifu maendeleo ya Iran
Jul 27, 2016 09:15Msemaji wa Rais wa Nigeria ambaye pia ni Mshauri katika masuala ya habari amesifu na kupongeza maendeleo na mafanikio iliyoyapata Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika miaka 30 ya hivi karibuni.
-
Safari ya Zarif Nigeria: Abuja na Tehran zasisitiza kuimarisha ushirikiano
Jul 25, 2016 12:37Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Nigeria wamesisitiza juu ya azma ya nchi zao ya kuimarisha zaidi ushirikiano wa pande mbili katika nyanja mbalimbali.
-
Familia: Afya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky sio nzuri
Jul 25, 2016 03:31Familia ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, mwanachuoni na kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imeeleza juu ya wasi wasi wake kuhusu hali ya kiafya ya msomi huyo wa Kiislamu.
-
Waislamu Nigeria wapongeza kuondolewa marufuku ya hijabu
Jul 24, 2016 03:30Waislamu nchini Nigeria wamepongeza uamuzi wa Mahakama ya Rufaa mjini Lagos kufutulia mbali marufuku ya kuvaa hijabu katika shule za umma mjini hapo.
-
UNICEF: Watoto elfu 49 wanakabiliwa na utapiamlo Nigeria
Jul 20, 2016 02:56Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetahadharisha kuwa, watoto 49,000 wako katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na baa la njaa na utapiamlo nchini Nigeria.
-
Viongozi wa Nigeria wakiri asilimia 80 ya wananchi ni maskini
Jul 17, 2016 23:53Makamu wa Kwanza wa Rais wa Nigeria amekiri kuwa asilimia 80 ya wananchi wa nchi hiyo wanaishi katika ukata wa kuchupa mipaka.
-
Miripuko kusini mwa Nigeria
Jul 04, 2016 06:42Kundi linalojulikana kwa jina la "Walipizaji kisasi wa Niger Delta" limekiri kuhusika na miripuko mitano mikubwa katika taasisi za mafuta na gesi katika eneo la Niger Delta kusini mashariki mwa Nigeria.