-
Watu 4 wauawa, 40 watekwa nyara kaskazini mwa Nigeria
Feb 14, 2024 07:34Kwa wakali watu wanne wameuawa huku makumi ya wengine wakitekwa nyara katika shambulio lililofanywa na kundi moja la wabeba silaha katika jimbo la Zamfara la kaskazini magharibi mwa Nigeria.
-
Msomi Mnigeria: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni dhihirisho la kupigania uhuru duniani
Feb 08, 2024 03:03Mwanasiasa na mwandishi mashuhuri wa Nigeria amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyoongozwa na Imam Khomeini (RA) ni kigezo cha wapigania uhuru kote duniani ili kuzifanya nchi zao kuwa huru.
-
Alfajiri Kumi; Uongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika njia ya Imam Khomeini (M.A)
Feb 05, 2024 03:15Mtafiti na Mhadhiri wa Chuo Kikuu katika mji wa Zaria nchini Nigeria amesema kuwa, Ayatullah Khamenei anaongoza Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika njia sawa na ya Imam Khomeini (M.A).
-
Wananchi wa Nigeria na Ghana wamuenzi Luteni Jenerali Qassim Suleimani + Video na Picha
Jan 08, 2024 03:48Kumbukumbu za kutimia mwaka wa nne tangu kuuliwa shahidi Luteni jenerali Shahidi Qassim Suleiman zimefanyika katika miji mikuu ya Nigeria na Ghana yaani huko Abuja na Accra kwa kuhudhuriwa na Waislamau wa matabaka mbalimbali na wafuasi wa kamanda huyo.
-
Waliouawa katika mashambulio ya wabeba silaha Nigeria waongezeka na kufikia 160
Dec 26, 2023 06:09Idadi ya watu waliouawa katika mashambulio yaliyofanywa na makundi ya wabeba silaha kwenye vijiji vya jimbo la Plateau katikati mwa Nigeria imeongezeka na kufikia 160.
-
Watu 16 wauawa katika mapigano jimboni Plateau, kaskazini mwa Nigeria
Dec 25, 2023 10:43Kwa akali watu 16 wameuawa katika shambulio la wabeba silaha katika jimbo la Plateau, kaskazini ya kati ya Nigeria.
-
Rais Tinubu wa Nigeria asikitishwa na kuuliwa kwa bahati mbaya raia 85; ataka uchunguzi ufanyike
Dec 05, 2023 11:58Shambulio la ndege zisizo na rubani la jeshi la Nigeria liliwaua kwa bahati mbaya raia 85 juzi Jumapili katika kijiji kimoja kaskazini-magharibi mwa Jimbo la Kaduna huko Nigeria.
-
Wanigeria waandamana wakitaka kukatwa uhusiano na Israel
Dec 03, 2023 10:42Kwa mara nyingine tena, maelfu ya Waislamu na waungaji mkono wa Palestina katika mji wa Kano, kaskazini mwa Nigeria wameandamana na kulaani jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina hasa wa Ukanda wa Gaza.
-
Wanajeshi wa Nigeria waua zaidi ya magaidi 180 wenye silaha ndani ya wiki moja
Dec 02, 2023 10:37Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, limeua zaidi ya magaidi 180 wanaoaminika kuendesha mashambulizi ya kigaidi katika kona mbalimbali za nchi hiyo.
-
Rais wa zamani wa Nigeria: Demokrasia ya Magharibi imefeli barani Afrika
Nov 22, 2023 03:29Rais wa zamani wa Nigeria Olusegun Obasanjo amesema, demokrasia ya Magharibi imeshindwa kufanya kazi kama mfumo wa serikali barani Afrika kwa sababu iliwekwa na mamlaka za kikoloni.