Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Boko Haram yafanya mashambulizi ya kushtukiza na kuua 26 Borno, Nigeria

    Boko Haram yafanya mashambulizi ya kushtukiza na kuua 26 Borno, Nigeria

    Mar 10, 2023 07:16

    Kwa akali watu 26 wameuawa katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria kufuatia mashambulio ya kushtukiza yaliyofanywa na magaidi wa kundi la Boko Haram.

  • Waislamu Nigeria waadhimisha kumbukumbu ya mazazi ya Imam Mahdi (AF)

    Waislamu Nigeria waadhimisha kumbukumbu ya mazazi ya Imam Mahdi (AF)

    Mar 08, 2023 10:26

    Waislamu wa madhehebu ya Shia na wafuasi na wapenzi wa Ahlu Bait (AS) nchini Nigeria wamejiunga na wenzao kote duniani katika maadhimisho ya kukumbuka kuzaliwa Imam wa Zama, Mahdi (AF).

  • Ushindi wa mgombea wa chama tawala katika uchaguzi wa Nigeria na mustakbali wa nchi hiyo

    Ushindi wa mgombea wa chama tawala katika uchaguzi wa Nigeria na mustakbali wa nchi hiyo

    Mar 01, 2023 14:09

    Kwa mujibu wa tangazo la Tume Huru ya Uchaguzi ya Nigeria (INEC), "Bola Ahmed Tinubu" aliyekuwa mgombea wa chama tawala cha "All Progressives Congress" ameshinda uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.

  • Tinubu wa chama tawala Nigeria atangazwa mshindi wa uchaguzi wa rais

    Tinubu wa chama tawala Nigeria atangazwa mshindi wa uchaguzi wa rais

    Mar 01, 2023 04:08

    Mgombea wa chama tawala nchini Nigeria, Bola Tinubu ametangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Jumamosi iliyopita.

  • Wananchi wa Nigeria wapiga kura kuchagua Rais mpya na Wabunge

    Wananchi wa Nigeria wapiga kura kuchagua Rais mpya na Wabunge

    Feb 25, 2023 07:18

    Mamilioni ya wapigakura nchini Nigeria wameelekea katika masanduku ya kupigia kura leo Jumamosi kushiriki uchaguzi wa rais wenye mchuano mkali, kumtafuta mrithi wa Muhammadu Buhari, ambaye anamaliza mihula yake miwili ya uongozi.

  • Atiku Abubakar Mgombea kiti cha urais Nigeria anajaribu tena karata yake katika uchaguzi wa Jumamosi

    Atiku Abubakar Mgombea kiti cha urais Nigeria anajaribu tena karata yake katika uchaguzi wa Jumamosi

    Feb 23, 2023 03:07

    Atiku Abubakar Makamu wa Rais wa zamani wa Nigeria kwa mara nyingine tena anawania wadhifa wa ngazi ya juu katika uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo uliopangwa kufanyika Jumamosi keshokutwa.

  • Rais Buhari wa Nigeria aongeza muda wa kubadilisha noti za zamani hadi Aprili

    Rais Buhari wa Nigeria aongeza muda wa kubadilisha noti za zamani hadi Aprili

    Feb 17, 2023 13:42

    Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari, ametoa idhini kwa Benki Kuu ya nchi hiyo kuongeza muda wa mwisho wa kubadilisha noti za zamani za pesa za nchi hiyo hadi Aprili 10 mwaka huu, baada ya uhaba wa pesa kuchochea hasira na ukosoaji wa wananchi kabla ya uchaguzi wa Rais na Bunge baadaye mwezi huu.

  • Uchaguzi wa Nigeria: Jeshi lakanusha madai ya njama ya mapinduzi kabla ya uchaguzi

    Uchaguzi wa Nigeria: Jeshi lakanusha madai ya njama ya mapinduzi kabla ya uchaguzi

    Feb 13, 2023 11:25

    Jeshi la Nigeria limekanusha madai ya chama tawala kwamba linapanga kuvuruga uchaguzi ujao wa rais nchini humo

  • IMN: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamekuwa na taathira kubwa kwa watu wa Nigeria

    IMN: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamekuwa na taathira kubwa kwa watu wa Nigeria

    Feb 09, 2023 02:21

    Mmoja kati ya viongozi wa ngazi ya juu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) amesema kuwa Mapinduzi ya Kiislamu yya Iran yameleta matumaini kote ulimwenguni.

  • Watu 40 wauawa katika mapigano jimboni Katsina, Nigeria

    Watu 40 wauawa katika mapigano jimboni Katsina, Nigeria

    Feb 04, 2023 07:26

    Watu zaidi ya 40 wameuawa katika mapigano baina ya kundi la wabeba silaha na wanakijiji waliojitolea kulinda usalama katika jimbo la Katsina, kaskazini mwa Nigeria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS