-
Magaidi 16 wa Boko Haram waangamizwa na jeshi la Nigeria
Sep 19, 2020 08:17Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuuawa wanachama 16 wa kundi la kigaidi la Boko Haram huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Mafuriko yaua watu zaidi ya 70 nchini Nigeria
Sep 18, 2020 03:36Kwa akali watu 77 wameaga dunia kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazonyesha nchini Nigeria.
-
Wanaobaka watoto wadogo jimboni Kaduna, Nigeria kuhasiwa
Sep 12, 2020 06:59Wabunge katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria wamepasisha muswada wa sheria inayotoa adhabu ya kuwahasi wale wataokutwa na hatia ya kuwabaka watoto walio chini ya umri wa miaka minne.
-
Watu 10 wauawa katika shambulizi la Boko Haram, Maiduguri Nigeria
Sep 08, 2020 03:19Watu wasiopungua 10 wameuawa katika shambulizi la kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram huko kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Sayyid Raisi: Kushambuliwa Waislamu wanaoomboleza mauaji ya Imam Husain AS nchini Nigeria ni kinyume cha katiba
Aug 31, 2020 09:02Mkuu wa Chombo cha Mahakama cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani kitendo cha wanajeshi wa Nigeria cha kuwashambulia Waislamu waliokuwa kwenye maomboleza ya Imam Husain AS na kusema kuwa kitendo hicho ni kinyume na katiba na kinakinzana na uhuru wa kila mtu kuwa na itikadi anayotaka.
-
Askari usalama washambulia waombolezaji katika kumbukumbu ya Ashura nchini Nigeria
Aug 30, 2020 22:05Askari usalama nchini Nigeria jana viliwashambulia waombolezaji katika kumbukumbu ya Ashura na kuwajeruhi kadhaa miongoni mwao.
-
Waislamu watatu wauliwa shahidi kaskazini mwa Nigeria katika maombolezo ya Imam Hussein AS
Aug 30, 2020 03:25Waislamu watatu wameuliwa shahidi katika mji wa Kaduna kaskazini mwa Nigeria katika shambulio lililofanywa na vikosi vya usalama dhidi ya washiriki wa maombolezo ya Imam Hussein AS.
-
Watu 75 wauawa katika shambulio la usiku mmoja la Boko Haram mashariki ya Nigeria
Aug 27, 2020 06:24Afisa mmoja wa Nigeria amesema, watu 75 wameuliwa katika usiku mmoja baada ya magaidi wa kundi la ukufurishaji la Boko Haram kushambulia eneo la Gwoza katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Harakati ya IMN yataka kufanyike uchunguzi kuhusu mashambulizi dhidi ya waomboleza wa Muharram, Nigeria
Aug 26, 2020 03:45Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) imetoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu shambulizi lililofanywa na polisi ya nchi hiyo dhidi ya Waislamu waliokuwa katika shughuli ya kidini ya kukumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) katika jimbo la Kaduna.
-
Jeshi la Nigeria laua Waislamu wakimuomboleza Imam Hussein AS
Aug 23, 2020 03:29Wanajeshi wa Nigeria wamewashambulia Waislamu waliokuwa wamekusanyika kwa ajili ya maombolezo ya Muharram ya Imam Hussein AS, katika jimbo la Kaduna.