Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Kupewa sumu Sheikh Zakzaky na kuongezeka malalamiko ya Waislamu nchini Nigeria

    Kupewa sumu Sheikh Zakzaky na kuongezeka malalamiko ya Waislamu nchini Nigeria

    Jun 28, 2019 11:31

    Baada ya kupita miaka mitatu na nusu tangu serikali ya Nigeria ianze kumshikilia kinyume cha sheria Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky na kuendelea kukaidi amri ya Mahakama Kuu ya kuachiliwa huru mwanachuoni huo, hivi sasa hali ya kiongozi huyo wa Waislamu imezidi kuwa mbaya.

  • Magaidi waua wanajeshi 15 kaskazini mwa Nigeria

    Magaidi waua wanajeshi 15 kaskazini mwa Nigeria

    Jun 19, 2019 03:04

    Wanajeshi 15 wa Nigeria wameuawa katika shambulizi linaloaminika kutekelezwa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram kaskazini mashariki mwa nchi.

  • Magaidi 20 waangamizwa na maafisa usalama kaskazini mwa Mali

    Magaidi 20 waangamizwa na maafisa usalama kaskazini mwa Mali

    Jun 16, 2019 03:07

    Kwa akali magaidi 20 wameuawa katika operesheni ya kutokomeza ugaidi inayojulikana kama 'Barkhane' huko kaskazini mashariki mwa Mali.

  • Magaidi wa Daesh wadai kuua makumi ya askari nchini Nigeria

    Magaidi wa Daesh wadai kuua makumi ya askari nchini Nigeria

    Jun 14, 2019 23:23

    Kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) katika eneo la Magharibi mwa Afrika (ISWA) limedai kwamba limeua makumi ya askari wa Nigeria huko kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Watu 25 wauawa kwenye hujuma ya wanamgambo nchini Nigeria

    Watu 25 wauawa kwenye hujuma ya wanamgambo nchini Nigeria

    Jun 10, 2019 07:08

    Watu 25 wameuawa katika shambulizi lililofanywa na kundi la watu waliokuwa na silaha jimboni Sokoto, kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.

  • Polisi ya Nigeria yakosolewa kwa kuwashambulia waandamanaji Siku ya Quds

    Polisi ya Nigeria yakosolewa kwa kuwashambulia waandamanaji Siku ya Quds

    Jun 01, 2019 06:51

    Polisi ya Nigeria imekosolewa vikali kwa kuwashambuliwa Waislamu na wanaharakati walioshiriki matembezi ya amani ya Siku ya Kimataifa ya Quds jana Ijumaa.

  • Waislamu wazidi kuandamana Nigeria kushinikiza kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky

    Waislamu wazidi kuandamana Nigeria kushinikiza kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky

    May 29, 2019 06:46

    Maelfu ya wananchi wa Nigeria wamefanya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja kushinikiza kuachiliwa huru haraka iwezekanavyo, mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky.

  • Wanajeshi 25 wa Nigeria wauawa katika hujuma ya magaidi wa Boko Haram

    Wanajeshi 25 wa Nigeria wauawa katika hujuma ya magaidi wa Boko Haram

    May 26, 2019 03:50

    Wanajeshi 25 wa Nigeria wameuawa katika hujuma ya kuvizia ambayo imetekelezwa na magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram.

  • Ripoti: Watu milioni 10 Afrika Mashariki wanavuta bangi, Tanzania yaongoza

    Ripoti: Watu milioni 10 Afrika Mashariki wanavuta bangi, Tanzania yaongoza

    May 25, 2019 05:54

    Utafiti mpya umefichua kuwa, takriban watu milioni 10 katika kanda ya Afrika Mashariki wanavuta bangi kinyume cha sheria, huku Tanzania ikishika nafasi ya kwanza katika orodha hiyo.

  • Jeshi la Nigeria lawafyatulia risasi hai waandamanaji wanaotaka kuachiwa Sheikh Zakzaky

    Jeshi la Nigeria lawafyatulia risasi hai waandamanaji wanaotaka kuachiwa Sheikh Zakzaky

    May 18, 2019 10:08

    Watu kadhaa wamejeruhiwa baada ya jeshi la Nigeria kuwafyatulia risasi hai waandamanaji wanaotaka kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky aachiliwe huru.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS