-
Watu 80 wakamatwa kwa kula mchana wa Ramadhani jimboni Kano, Nigeria
May 17, 2019 02:59Polisi wanaosimamia sheria za Kiislamu (Sharia) katika jimbo la Kano kaskazini mwa Nigeria wamewatia mbaroni watu 80 kwa tuhuma za kula mchana hadharani, wakati huu wa funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Maelfu ya watu wakimbia makazi yao Nigeria kuogopa mashambulizi ya Boko Haram
May 15, 2019 03:18Maelfu ya wanavijiji wamekimbia makazi yao kaskazini mashariki mwa Nigeria wakikwepa mashambulizi ya kigaidi ya Boko Haram katika mji wa Maiduguri, makao makuu ya jimbo la Borno la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Wanajeshi 11 wa Nigeria wauawa na kundi la kigaidi la Boko Haram
May 12, 2019 08:29Wanajeshi wasiopungua 11 wa Nigeria wameuawa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la wanamgambo wa kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Magaidi wa Daesh wadai wameua askari 11 kaskazini mwa Nigeria
May 12, 2019 02:19Wanajeshi 11 wa serikali wameuawa kaskazini mashariki mwa Nigeria kufuatia shambulio la wanamgambo wanaosadikiwa kuwa wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).
-
UNICEF: Wapiganaji watiifu kwa serikali ya Nigeria wawaachia huru watoto 900
May 11, 2019 03:14Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Watoto (UNICEF) limetangaza kuwa, kundi la wapiganaji wenye mfungamano na vikosi vya serikali ya Nigeria limewaachia huru mamia ya watoto waliokuwa wakitumiwa na kundi hilo katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram.
-
Polisi wa Nigeria watuhumiwa kuwabaka washukiwa wa ukahaba
May 07, 2019 03:06Jeshi la Polisi la Nigeria linachunguza madai kuwa baadhi ya maafisa wake waliwabaka mamia ya wanawake waliowakamata kwa tuhuma za kujihusisha na ukahaba.
-
Larijan: Iran na Nigeria kuimarisha ushirikiano wao wa kibiashara
May 05, 2019 23:16Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema mazingira yameandaliwa kwa ajili ya kuimarisha na kupanua ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Nigeria katika uga wa biashara.
-
Wanajeshi 30 wa Nigeria watoweka kufuatia shambulizi la Boko Haram
Apr 30, 2019 02:18Wanajeshi watano wa Nigeria wameuawa na wengine 30 kutoweka kufuatia shambulizi lililofanywa na magaidi wa Boko Haram katika kambi ya wanajeshi hao.
-
"Iran ni mpiganiaji mkubwa wa umoja wa nchi za Kiislamu"
Apr 28, 2019 11:37Mtaalamu mmoja wa ulimwengu wa Kiislamu kutoka Nigeria amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima iko mstari wa mbele katika kupigania umoja na mshikamano baina ya nchi za Kiislamu.
-
Waziri wa Mafuta wa Nigeria: Mauzo ya mafuta ya Iran hayawezi kufikia kiwango cha sifuri
Apr 26, 2019 03:42Waziri wa Mafuta wa Nigeria ametoa radiamali kufuatia uamuzi wa Marekani wa kufuta kibali cha ununuzi wa mafuta ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema kuwa, ni jambo lisilowezekana kufikisha mauzo ya mafuta ya Iran kwenye kiwango cha sifuri.