Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Polisi yawazuilia watoto wa wanachama wa Harakati ya Kiislamu Nigeria

    Polisi yawazuilia watoto wa wanachama wa Harakati ya Kiislamu Nigeria

    Apr 18, 2019 22:31

    Polisi nchini Nigeria imewatia mbaroni na kuwazuilia makumi ya watoto wa wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo.

  • Watu 16 wauawa katika shambulizi la kuvizia nchini Nigeria

    Watu 16 wauawa katika shambulizi la kuvizia nchini Nigeria

    Apr 16, 2019 21:59

    Kwa akali watu 16 wameuawa huku wengine 14 kujeruhiwa katika shambulizi la kuvizia lililofanywa na watu waliojizatiti kwa silaha katika eneo la Nasarawa magharibi mwa Nigeria.

  • UNICEF: Watoto zaidi ya 3,500 wametumika vitani Nigeria tangu 2013

    UNICEF: Watoto zaidi ya 3,500 wametumika vitani Nigeria tangu 2013

    Apr 12, 2019 20:45

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF limesema zaidi ya watoto 3,500 wengi wakiwa na umri wa kati ya miaka 13 hadi 17 waliingizwa na kutumiwa katika vita vinavyoendelea Kaskazini Mashariki mwa Nigeria na makundi yenye silaha yasiyo ya kiserikali

  • Watu 20 wauawa na 'watu wenye sare za kijeshi' Nigeria

    Watu 20 wauawa na 'watu wenye sare za kijeshi' Nigeria

    Apr 09, 2019 10:06

    Kwa akali watu 20 wameuawa baada ya watu waliokuwa wamevalia magwanda ya kijeshi kushambulia kijijini kimoja katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria.

  • Makumi wauawa katika shambulio kaskazini mwa Nigeria

    Makumi wauawa katika shambulio kaskazini mwa Nigeria

    Apr 06, 2019 03:21

    Kwa akali watu 50 wameuawa katika shambulio la wavamizi waliobeba silaha kaskazini magharibi mwa Nigeria.

  • Waislamu wa Nigeria waandamana tena kushinikiza Sheikh Zakzaky aachiliwe huru

    Waislamu wa Nigeria waandamana tena kushinikiza Sheikh Zakzaky aachiliwe huru

    Mar 21, 2019 11:30

    Kwa mara nyingine tena, wananchi Waislamu wa Nigeria wamefanya maandamano ya kutaka kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky aachiliwe huru.

  • 9 wauawa katika shambulio la silaha Nigeria

    9 wauawa katika shambulio la silaha Nigeria

    Mar 17, 2019 03:39

    Vyombo rasmi nchini Nigeria vimetangaza kuwa watu 9 wameuawa katika shambulio jipya la watu waliokuwa na silaha katika kijiji kimoja kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Walioaga dunia baada ya jengo kuporomoka Nigeria wafika 20

    Walioaga dunia baada ya jengo kuporomoka Nigeria wafika 20

    Mar 15, 2019 12:02

    Kamishna wa Afya katika jimbo la Lagos nchini Nigeria amesema idadi ya watu waliopoteza maisha baada jengo kuporomoka imeongezeka na kufikia watu 20.

  • Magaidi 50 wa kundi la Boko Haram waangamizwa na majeshi ya nchi nne

    Magaidi 50 wa kundi la Boko Haram waangamizwa na majeshi ya nchi nne

    Mar 11, 2019 04:27

    Jeshi la Nigeria limetangaza kwamba magaidi 50 wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram wameuawa katika operesheni za kikosi cha pamoja cha Nigeria, Chad, Cameroon na Niger.

  • Mamia ya watu watiwa nguvuni Nigeria kwa uhalifu unaohusiana na uchaguzi

    Mamia ya watu watiwa nguvuni Nigeria kwa uhalifu unaohusiana na uchaguzi

    Mar 06, 2019 03:55

    Polisi ya Nigeria imetangaza kuwa, imewatia nguvuni zaidi ya watu 300 kwa tuhuma za kufanya uhalifu unaohusiana na uchaguzi wa mkuu uliofanyika mwezi uliopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS