-
Mripuko wa kipindupindu waua makumi ya watu nchini Nigeria
Jun 21, 2024 02:45Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mripuko mpya wa ugonjwa wa kipindupindu katika jimbo la Lagos, kusini magharibi mwa Nigeria imeongezeka na kufikia 21.
-
Genge laua watu 6 na kuteka nyara wengine 100 Nigeria
Jun 18, 2024 07:07Genge la wabeba silaha limevamia kijiji kimoja huko kaskazini magharibi mwa Nigeria na kuua watu sita, mbali na kuteka nyara wengine zaidi ya 100.
-
Kadhaa waaga dunia baada ya mgodi wa dhahabu kuporomoka Nigeria
Jun 06, 2024 04:24Makumi ya watu wanahofiwa kufariki dunia baada ya kuporomokewa na udongo kwenye mgodi wa dhahabu uliotelekezwa katikati ya Nigeria.
-
Kiwanda cha Dangote chaanza kuuzia Ulaya mafuta ya ndege
Jun 02, 2024 06:37Kiwanda cha Kusafishia Mafuta cha Dangote cha Nigeria kimeanza kuziuzia nchi za Ulaya mafuta ya ndege.
-
Shambulio dhidi ya msikiti la sababu za kifamilia lajeruhi watu 24 wakiwemo watoto kaskazini ya Nigeria
May 16, 2024 06:23Polisi ya Nigeria imesema, watu wasiopungua 24 wakiwemo watoto wanne wamejeruhiwa katika jimbo la kaskazini la Kano baada ya mwanamume mmoja kushambulia msikiti waliokuwamo ndani yake watu hao waliokuwa wakisali na kusababisha mripuko.
-
Tahadhari kuhusu uwepo wa wanajeshi wa Marekani na Ufaransa nchini Nigeria
May 12, 2024 02:35Msemaji wa kundi la viongozi wa kaskazini mwa Nigeria amemuonya rais wa nchi hiyo kuhusu madhara hatari ya kuwepo kwa wanajeshi wa Marekani na Ufaransa nchini Nigeria.
-
Wakulima 30 wauawa katika shambulio la wabeba silaha Nigeria
May 11, 2024 11:46Kwa akali wakulima 30 wameuawa katika shambulizi la genge la wabeba silaha katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria.
-
Mahakama ya Nigeria yatoa hukumu dhidi ya Polisi kwa kushambulia matembezi ya Ashura
May 01, 2024 10:53Mahakama Kuu ya Shirikisho ya Nigeria katika Jimbo la Kaduna imetoa hukumu dhidi ya Polisi ya nchi hiyo kwa kushambulia waumini katika matembezi ya amani ya Siku ya Ashura yaliyofanyika katika mji wa Zaria.
-
Mvua kali zabomoa ukuta mbovu wa jela Nigeria na kuwezesha wafungwa zaidi ya 100 kutoroka
Apr 26, 2024 10:49Zaidi ya wafungwa 100 wametoroka jela baada ya mvua kali kubomoa ukuta mbovu wa jela hiyo iliyoko karibu na mji mkuu wa Nigeria Abuja.
-
Wazazi Nigeria waungana na watoto wao waliokuwa wametekwa nyara
Mar 28, 2024 07:02Wazazi wa watoto wa shule zaidi ya 130 nchini Nigeria wamekombolewa kutoka mikononi mwa watekaji nyara baada ya kushikiliwa mateka kwa zaidi ya wiki mbili. Wazazi hao jana waliungana na watoto wao; ambapo walishindwa kuzuia machozi ya furaha katika tukio hilo walilokuwa wakilisubiri kwa muda mrefu.