-
UN: Sudan kukumbwa na mgogoro mbaya zaidi wa kibinadamu duniani
Mar 21, 2024 06:42Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imeonya kuwa, mapigano makali ya karibu mwaka mmoja sasa kati ya makundi mawili hasimu, yaani Jeshi la Sudan (SAF) na Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) yameiweka nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika katika ncha ya kutumbukia kwenye mgogoro mbaya zaidi wa njaa duniani.
-
FAO: Nchi 33 za Afrika zinahitaji msaada wa chakula kutoka nje
Mar 16, 2024 03:50Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limesema katika ripoti yake mpya kwamba, nchi 45 duniani, zikiwemo 33 za Afrika zinahitaji msaada wa dharura wa chakula kutoka nje.
-
Le Monde: Hakuna matumaini ya kukomeshwa vita hivi karibuni nchini Sudan
Feb 11, 2024 08:37Ripoti iliyochapishwa na gazeti la Ufaransa la Le Monde imesema kwamba, baada ya zaidi ya miezi 9 ya vita kati ya Jeshi la Sudan linaloongozwa na Abdel Fattah al-Burhan na Vikosi vya Msaada wa Haraka chini ya uongozi wa Mohamed Hamdan Dagalo, hakuna uwezekano wa kumalizika vita hivyo karibuni.
-
Sudan yakanusha taarifa za UN kuhusu Al-Burhan kukubali kukutana na Hemedti nchini Uswisi
Feb 09, 2024 04:40Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Sudan jana Alhamisi ilikanusha taarifa iliyotolewa na Mratibu wa Masuala ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa, Martin Griffiths, ambaye alidokeza kuwa Rais wa Baraza Kuu la Utawala nchini Sudan, Jenerali Abdel Fattah Al-Burhan, amekubali kukutana na Kamanda wa Kikosi cha Msaada wa Haraka, Mohamed Hamdan Dagalo (Hemedti), nchini Uswisi, kwa madhumuni ya kuwezesha kuwasili kwa misaada kwa watu walioathirika na vita huko Sudan.
-
UN: Nusu ya wakazi wa Gaza katika hatari ya kufa njaa
Dec 15, 2023 07:08Afisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuwa, asilimia 50 ya wakazi wa eneo la Palestina la Ukanda wa Gaza linalokaliwa kwa mabavu wapo hatari ya kupoteza maisha kutokana na makali ya njaa.
-
Njaa yaua watu 176 eneo la Tigray, Ethiopia
Dec 13, 2023 23:40Watu wasiopungua 176 wameaga dunia katika eneo la Tigray la kaskazini mwa Ethiopia kutokana na njaa iliyosababishwa na ukame ambao umeendelea kushuhudiwa katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo.
-
Ripoti: Karibu robo milioni ya watu wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula
Sep 15, 2023 08:20Takriban watu milioni 238 wanasumbuliwa na viwango vya juu vya ukosefu wa usalama (utoshelevu) wa chakula katika nchi 48 duniani.
-
Mamilioni wahama makazi yao Somalia kutokana na ukame, migogoro
Aug 31, 2023 23:35Robo ya wananchi wote wa Somalia wamelazimika kuyahama makazi yao kutokana na ukame na migogoro.
-
Watoto milioni 3 katika hatari ya kufa njaa Sudan Kusini
Jul 28, 2023 08:35Maafisa wa serikali ya Sudan Kusini wamesema mamilioni ya watoto nchini humo wapo katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na mgogoro wa njaa unaolikabili taifa hilo changa zaidi barani Afrika.
-
Mamilioni ya watoto wa Yemen wanakabiliwa na hatari ya baa la njaa
Jul 19, 2023 04:30Zaidi ya watoto milioni 6 nchini Yemen wanakabiliwa na hatari ya baa la njaa na kwamba, wanahitajia misaada ya haraka ya chakula na dawa.