-
Mchakato wa mapatano ya kitaifa ya Wapalestina na vitisho vinavyowakabili
Oct 07, 2017 23:09Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imetahadharisha kuhusu mipango ya kimataifa ya kutaka kutumiwa vibaya mapatano ya kitaifa ya Wapalestina lengo likiwa ni kufutilia mbali kadhia ya Palestina.
-
Hamas: Ukombozi wa Palestina unahijatia umoja wa kitaifa
Sep 30, 2017 12:57Naibu Mkuu wa Idara ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, ukombozi wa Palestina na Quds tukufu na kukomeshwa uvamizi wa utawala haramu wa Israel kunahitaji umoja na mshikamano wa kitaifa.
-
Palestina yakubaliwa kuwa mwanachama wa Interpol
Sep 27, 2017 10:38Palestina imekubaliwa kuwa mwanachama kamili wa Polisi ya Kimataifa (Interpol), katika hatua inayoonekana ni pigo la kidiplomasia kwa utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani.
-
UN yasikitishwa na kushtadi ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni, Palestina
Sep 26, 2017 04:08Umoja wa Mataifa umekosoa mwenendo wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi za Wapalestina licha ya Baraza la Usalama la umoja huo kupasisha azimio la kulaani na kutaka kusimamishwa ujenzi huo mwishoni mwa mwaka jana.
-
UN yasikitishwa na kushtadi ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni, Palestina
Sep 26, 2017 01:19Umoja wa Mataifa umekosoa mwenendo wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi za Wapalestina licha ya Baraza la Usalama la umoja huo kupasisha azimio la kulaani na kutaka kusimamishwa ujenzi huo mwishoni mwa mwaka jana.
-
Hamas yaipongeza UN kwa kuiweka Israel katika orodha nyeusi
Sep 25, 2017 04:22Harakari ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imepongeza hatua ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa ya kuiweka Israel katika orodha nyesi ya nchi zinazokiuka haki za binadamu.
-
Israel yavunja zaidi ya misikiti na makanisa 50 Palestina
Sep 25, 2017 00:40Walowezi wa Kizayuni wamevunja misikiti na makanisa yasiyopungua 53 katika kipindi cha miaka minane (8) iliyopita katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Wapalestina wawasilisha ushahidi wa jinai za Israel dhidi yao ICC
Sep 20, 2017 22:02Mawakili na wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wa Palestina wamewasilisha ushahidi mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC inayothibitisha kuwa vyombo vya dola vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimehusika katika jinai dhidi yao.
-
Mfalme wa Bahrain ataka nchi za Kiarabu ziache kususia Israel
Sep 18, 2017 09:35Mfalme Hamad bin Isa Aal Khalifa wa Bahrain amezitaka nchi za Kiarabu kuacha kuusussia utawala haramu wa Israeli.
-
Umoja wa Mataifa: Wapalestina 19 wameuawa shahidi tangu kuanza mwaka huu
Sep 16, 2017 23:18Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu imetangaza kuwa, Wapalestina 19 wameuawa shahidi tangu ulipoanza mwaka huu wa 2017.