-
Walimwengu waandamana wakilaani mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza
Jun 12, 2024 03:52Maandamano ya kupinga na kulaani mauaji ya kimbari ya utawala ghasibu wa Kizayuni katika ukanda wa Gaza yanaendelea kufanyika katika nchi tofauti za dunia.
-
Msimamo wa Makundi ya Mapambano ya Palestina Kuhusu Azimio la UN
Jun 11, 2024 23:24Makundi ya mapambano ya Palestina yametoa mjibizo kwa hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ya kupitisha azimio lililopendekezwa na Marekani kuhusu matukio ya Ghaza kwa kusisitiza kuwa: azimio hilo linahitaji hakikisho la utekelezaji.
-
Haniya: HAMAS haitasalimu amri, itaendeleza muqawama
Jun 09, 2024 23:53Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kundi hilo la muqawama katu halitasalimu amri, bali litaendeleza mapambano yake kwa nguvu zote.
-
Mikakati athirifu ya Iran ya kutatua migogoro ya kikanda na Palestina
Jun 02, 2024 23:30Katika miaka ya hivi karibuni, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa na mikakati madhubuti na athirifu katika matukio ya kieneo na kimataifa ikiwemo kadhia ya Palestina.
-
Kuendelea uungaji mkono wa kimataifa kwa watu wa Gaza
Jun 02, 2024 03:01Wananchi wa maeneo tofauti ya dunia wanaendela kufanya maandamano na mikusanyiko kwa ajili ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu na wanaosimama imara wa Ukanda wa Gaza na kusisitiza juu ya kusimamishwa jinai za utawala wa Kizayuni katika ukanda huo.
-
Jihadul-Islami: Tunautazama mpango uliopendekezwa na Biden kwa 'jicho la shaka'
Jun 01, 2024 07:43Harakati ya Muqawama ya Jihadul-Islami ya Palestina imesema inautazama kwa jicho la shaka mpango uliotangazwa na Rais wa Marekani kwa ajili ya kuhitimisha vita vya Ghaza.
-
Barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa wanachuo wa Marekani wanaotetea Palestina
May 31, 2024 03:58Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika barua aliyowaandikia wanachuo wenye utu wanaotetea wananchi wa Palestina katika vyuo vikuu vya Marekani, ameonyesha mshikamano wake na maandamano ya wanachuo hao dhidi ya uzayuni na kuwataja kuwa sehemu ya mrengo wa muqawama.
-
Kiongozi Muadhamu awaambia wanachuo US: Mpo katika upande sahihi wa historia
May 30, 2024 03:38Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria mwamko wa wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Marekani dhidi ya utawala katili wa Israel na kusisitiza kuwa, wanachuo hao wa US wamesimama katika upande sahihi wa historia.
-
Bendera ya Palestina yapepea ndani ya Bunge la Ufaransa
May 29, 2024 03:11Bendera ya Palestina imepepea katika Bunge la Ufaransa.
-
Uhispania, Ireland na Norway zaitambua rasmi Palestina
May 29, 2024 00:17Uhispania, Ireland na Norway jana zilipasisha rasmi mpango wa kutambua rasmi Palestina, katika uamuzi ulioratibiwa hatua ambayo imeongeza himaya na uungaji mkono kwa Palestina barani Ulaya.