-
Rais Rouhani: Uzinduzi wa miradi ni mwiba wa kooni kwa waliokuwa wakila njama dhidi ya Iran
Aug 01, 2021 23:41Rais Hassan Rouhani amesema, kuzinduliwa kwa miradi ni mwiba wa kooni kwa waliokuwa wakipanga njama mbalimbali dhidi ya Iran.
-
Rouhani: Iran na Uturuki ni madola mawili makubwa ya Ulimwengu wa Kiislamu
Jul 22, 2021 03:27Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki na mbali na kumpa mkono wa Idi, yeye, serikali na wananchi wa Uturuki amesema kuwa, nchi hizi mbili ni madola makubwa katika eneo hili na kwenye Ulimwengu wa Kiislamu na zina nafasi muhimu katika utatuzi wa matatizo ya eneo hili zima.
-
Rouhani: Marekani iwajibishwe kwa kutungua ndege ya abiria ya Iran
Jul 03, 2021 08:11Rais Hassan Rouhani wa Iran ameikosoa vikali Marekani kwa kutoomba radhi kwa kushambulia ndege ya abiria ya Jamhuri ya Kiislamu mwaka 1988 katika Ghuba ya Uajemi na kusisitiza kuwa, Washington inapaswa kubebeshwa dhima kwa kuwaunga mkono waliotenda jinai hiyo.
-
Rais Rouhani: Biden anawasaliti wananchi wa Marekani
Jun 30, 2021 06:36Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema iwapo Rais Joe Biden wa Marekani atafeli kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kama alivyoahidi, basi atakuwa amewasailiti wananchi wa Marekani ambao walimpigia kura wakitaka kuona mabadiliko ya sera ghalati dhidi ya Iran za mtangulizi wake, Donald Trump.
-
Rais Rouhani: Kiongozi Muadhamu amewapa motisha wanasayansi kwa kupigwa chanjo ya Iran
Jun 26, 2021 08:18Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema hatua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya kupigwa chanjo ya Corona ya COVIran Barekat imewapa motisha na kuwashajiisha wanasayansi wa Jamhuri ya Kiislamu walioizalisha chanjo yenyewe.
-
Rais Rouhani: Vikwazo na vita vya kiuchumi vitambuliwe kuwa ni jinai za kimya kimya
Jun 15, 2021 06:28Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikwazo na vita vya kiuchumi lazima vipewe jina la jinai ya kimya kimya dhidi ya binadamu duniani.
-
Rais Rouhani: Uwezo wa Iran wa kuzalisha bidhaa za petrokemikali umeongezeka maradufu
Jun 09, 2021 07:45Rais Hassan Rouhani amesema kuwa uwezo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kuzalisha bidhaa za petrokemikali umeongezeka maradufu hivi sasa.
-
Rais Rouhani: Masanduku ya kura na uchaguzi ni matunda muhimu ya Mapinduzi ya Kiislamu
Jun 02, 2021 07:50Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, masanduku ya kupigia kura ni miongoni mwa matokeo na matunda muhimu ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran yaliyouondoa madarakani utawala wa kifalme na kidhalimu.
-
Rais Rouhani: Tunatumai uhusiano wetu na Ethiopia utaimarika zaidi
May 28, 2021 08:17Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema anatumai kuwa uhusiano wa pande mbili wa nchi hii na Ethiopia utaboreka na kuimarika zaidi.
-
Rouhani: Uchaguzi wa rais Iran unaangaziwa kimataifa
May 19, 2021 21:54Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema macho ya dunia yameelekezwa kwenye uchaguzi ujao wa rais nchini Iran.