Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rais Hassan Rouhani: Iran itatoa jibu kali kwa Marekani

    Rais Hassan Rouhani: Iran itatoa jibu kali kwa Marekani

    Jul 26, 2017 09:23

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran itatoa jibu kali kwa hatua ya Marekani ya kupasishwa vikwazo vipya dhidi ya taifa hili.

  • Rouhani: Marekani haiwezi kusimamia haki za binadamu na uthabiti duniani

    Rouhani: Marekani haiwezi kusimamia haki za binadamu na uthabiti duniani

    Jul 19, 2017 10:00

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Marekani kwa kupuuza na kukanyaga makubaliano ya kimataifa iliyoyatia saini yakiwemo makubaliano kati yake na Paris, Cuba, Amerika ya kaskazini na Asia ya Mashariki haiwezi kusimamia haki za binadamu, sheria,amani na usalama duniani.

  • Rais Rouhani aomboleza kifo cha mwanahisabati bingwa wa Iran na dunia

    Rais Rouhani aomboleza kifo cha mwanahisabati bingwa wa Iran na dunia

    Jul 15, 2017 08:36

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Maryam Mirzakhani, mwanahisabati bingwa na mwenye kipawa che kipekee wa Iran na dunia.

  • Rouhani: Misimamo mikali na ugaidi ni hatari kwa dunia

    Rouhani: Misimamo mikali na ugaidi ni hatari kwa dunia

    Jul 12, 2017 10:14

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema misimamo mikali na ugaidi ni hatari kubwa kwa eneo la Mashariki ya Kati na dunia nzima.

  • Rohani: Taifa la Iran litayashinda madola ya kibeberu

    Rohani: Taifa la Iran litayashinda madola ya kibeberu

    Jul 11, 2017 11:28

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa taifa la Iran limeonesha kuopitia uwezo wake, umoja na udiplomsia wake kuwa litashinda njama za madola makubwa ya kibeberu duniani.

  • Rais Rouhani: Matatizo ya mazingira yatatuliwe kimataifa

    Rais Rouhani: Matatizo ya mazingira yatatuliwe kimataifa

    Jul 03, 2017 03:41

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ulindaji mazingira ni dharura kwa ajili ya afya, ustawi na kuzuia kuhajiri watu kutoka maeneo yao.

  • Rais Rouhani aipongeza  Iraq kwa kuwatimua magaidi wa ISIS kutoka Mosul

    Rais Rouhani aipongeza Iraq kwa kuwatimua magaidi wa ISIS kutoka Mosul

    Jun 30, 2017 09:30

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameipongeza Iraq kufuatia mafanikio ya kukombolewa mji wa Mosul ambao ulikuwa unakaliwa kwa mabavu na kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.

  • Rais Rouhani: Iran imeazimia kupanua zaidi mahusiano na Qatar

    Rais Rouhani: Iran imeazimia kupanua zaidi mahusiano na Qatar

    Jun 26, 2017 03:25

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Amir wa Qatar, Tamim bin Hamad Aal Thani ambapo sambamba na kumuhakikishia kuwa, serikali na taifa la Iran liko pamoja na serikali na taifa la Qatar, amesema kuwa, siasa za Tehran zimelenga kuimarisha mahusiano zaidi na Doha.

  • Ujumbe wa Idul Fitr wa Rais Rouhani wa Iran kwa marais wa nchi za Kiislamu

    Ujumbe wa Idul Fitr wa Rais Rouhani wa Iran kwa marais wa nchi za Kiislamu

    Jun 25, 2017 09:59

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia viongozi wa nchi za Kiislamu salamu za pongezi, kheri na fanaka kwa munasaba wa siku kuu ya Idul Fitr.

  • Rais wa Iran asisitiza nafasi muhimu ya wanawake katika maendeleo ya jamii

    Rais wa Iran asisitiza nafasi muhimu ya wanawake katika maendeleo ya jamii

    Jun 25, 2017 03:48

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza nafasi muhimu ya wanawake katika ustawi na maendeleo ya jamii sambamba na kusukuma mbele gurudumu la malengo ya Mapinduzi ya Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS