• Taasisi ya Moyo Muhimbili Tanzania yamshukuru rais wa nchi hiyo + Sauti

    Taasisi ya Moyo Muhimbili Tanzania yamshukuru rais wa nchi hiyo + Sauti

    Jun 09, 2019 12:21

    Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo hospitali ya taifa ya muhimbili nchini Tanzania imetoa shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli kwa kuisaidia Taasisi hiyo kupata jengo la Kitengo cha Matibabu ya Moyo kwa Watoto. AMARI DACHI na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam...

  • Semina ya kumbukumbu za kufariki dunia Imam Khomeini MA yafanyika Tanzania + Sauti

    Semina ya kumbukumbu za kufariki dunia Imam Khomeini MA yafanyika Tanzania + Sauti

    Jun 02, 2019 23:56

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania Bw. Musa Farhang amesema kuwa Imam Khomeini MA alikuwa mfano wa Mwalimu Nyerere katika misimamo yake ya kulitetea taifa la Palestina n.k. Aidha amewahiiza Waislamu kufuata mambo hayo ili waweze kujikwamua kutoka katika ukoloni wa kifikra. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam...

  • Kenya yazindua sarafu mpya Madaraka Day + Sauti

    Kenya yazindua sarafu mpya Madaraka Day + Sauti

    Jun 01, 2019 12:23

    Taifa la kenya limezindua sarafu mpya katika maadhimisho ya 56 ya Madaraka Day ili kupambana na ufisadi. Rais Uhuru Kenyatta amesema kuwa, pasi na kushirikiana ili kuukomesha ufisadi basi ndoto za waanzilishi wa taifa za kuona Kenya ni taifa lililostaarabika katika kila Nyanja, zitashindwa kutimia. Seifullah Murtadha na maelezo zaidi kutoka Mombasa, Kenya.

  • Waislamu walaumiwa kwa kuuana wenyewe kwa wenyewe na kumsahau adui yao + Sauti

    Waislamu walaumiwa kwa kuuana wenyewe kwa wenyewe na kumsahau adui yao + Sauti

    May 27, 2019 11:55

    Waislamu wa zama hizi wamelaumiwa kwa kumalizana wenyewe kwa wenyewe na kumsahau adui yao halisi. Mwandishi wetu wa Kampala Kigozi Ismail na taarifa kamili.

  • Lugha tamu ya Kiswahili yazidi kung'ara nchini Burundi + Sauti

    Lugha tamu ya Kiswahili yazidi kung'ara nchini Burundi + Sauti

    May 13, 2019 13:34

    Lugha ya Kiswahili inazidi kunawiri nchini Burundi hasa baada ya nchi hiyo kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambayo sehemu kubwa ya watu wake wanazungumza lugha hiyo. Mwandishi wetu Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura.

  • Uganda yaongeza tahadhari ya kukabiliana na ugonjwa wa Ebola + Sauti

    Uganda yaongeza tahadhari ya kukabiliana na ugonjwa wa Ebola + Sauti

    May 13, 2019 13:27

    Nchini Uganda hatua mbalimbali zinaendelea kuchukuliwa kukabiliana na ugonjwa hatari wa Ebola usiingie nchini humo kutokea nchi jirani ya DRC hasa kutokana na wimbi kubwa la wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kumiminika nchini Uganda. Mwandishi wa Radio Tehran ana ripoti zaidi kutoka Kampala.

  • Ujumbe wa Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) nchini Kenya + Sauti

    Ujumbe wa Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) nchini Kenya + Sauti

    May 01, 2019 11:28

    Jamii ya wafanyakazi nchini Kenya imeitaka serikali kumaliza tatizo la ufisadi ambalo limeshika kasi sana nchini. Hayo yametolewa na wafanyakazi hao katika sherehe za Siku ya Mfanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo pamoja na mambo mengine wameitaka serikali ya Nairobi kuwaandalia mazingira salama ya kazi ili waweze kutekeleza majukumu yao ipasavyo.

  • Ubakaji waongezeka Burundi, baadhi ya viongozi wa Kanisa watuhumiwa + Sauti

    Ubakaji waongezeka Burundi, baadhi ya viongozi wa Kanisa watuhumiwa + Sauti

    Apr 29, 2019 12:29

    Baadhi ya wachungaji na viongozi wa Kanisa wanatuhumiwa kujihusika na visa vya upakaji na unyanyasaji wa kijinsia vinavyozidi kuongozeka nchini Burundi licha ya kuweko juhudi kubwa za kupambana na unyanyasaji wa kingono na kijinsia nchini humo. Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura.

  • Polisi mjini Kampala wapambana na vijana wenye hasira + Sauti

    Polisi mjini Kampala wapambana na vijana wenye hasira + Sauti

    Apr 29, 2019 12:27

    Ghasia za kisiasa na kijamii zimeongezeka mjini Kampala Uganda na kuwalazimisha polisi kutumia nguvu kukabiliana na ghasia hizo. Mwandishi wetu wa Kampala Kigozi Ismail na maelezo zaidi.

  • Albino kuandamana Tanzania kulaani jinai wanazofanyiwa

    Albino kuandamana Tanzania kulaani jinai wanazofanyiwa

    Apr 28, 2019 13:28

    Chama cha Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi (Albino) nchini Tanzania kimeazimia kufanya maandamano ya kulaani jinai wanazofanyiwa ikiwemo ufukuaji wa makaburi ya watu wenye ulemavu huo na kuondoka na viungo vyao. Uovu huo uko zaidi mkoani Mbeya. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam, Tanzania...