• SAUTI: Ziara ya Rais wa Misri nchini Uganda

    SAUTI: Ziara ya Rais wa Misri nchini Uganda

    Dec 20, 2016 07:26

    Rais Abdul Fattah el Sisi wa Misri amefanya ziara nchini Uganda na kuonana na viongozi wa ngazi za juu wa nchi hiyo na kujadiliana nao masuala muhimu ya pande mbili ikiwemo mikakati ya kutumia vizuri maji ya mto Nile. Mwandishi wa Raido Tehran na ripoti zaidi kutoka mjini Kampala.

  • SAUTI: Wagonjwa wa akili wakimbia hospitalini Kenya

    SAUTI: Wagonjwa wa akili wakimbia hospitalini Kenya

    Dec 06, 2016 08:42

    Huku mgomo wa madaktari ukiendelea nchini Kenya, zaidi ya wagonjwa mia moja wa akili wameripotiwa kutoroka hospitalini. Mwandishi wa Radio Tehran amefuatilia habari hiyo na kutuandalia ripoti ifuatayo...

  • SAUTI: Wasiwasi wa kuanza wimbi jipya la mashambulizi ya kigaidi nchini Kenya

    SAUTI: Wasiwasi wa kuanza wimbi jipya la mashambulizi ya kigaidi nchini Kenya

    Nov 30, 2016 14:45

    Idara ya polisi Kenya imetoa tahadhari kufuatia njama ya kundi la Al Shabaab na kundi la kitakfiri la Daesh kupanga kuvamia magari ya umma katika maeneo ya mipaka pamoja na miji ya pwani kama vile Mombasa. Kenya imekuwa ikishambuliwa na magaidi tangu kikosi cha jeshi lake kuelekea nchini Somalia kusaidia kulinda amani katika ngome zinazokaliwa kimabavu na wafuasi wa kundi la ash Shabab.

  • SAUTI: Mikataba mibovu, rushwa na uongozi mbaya chanzo cha umaskini Afrika

    SAUTI: Mikataba mibovu, rushwa na uongozi mbaya chanzo cha umaskini Afrika

    Nov 26, 2016 04:07

    Mikataba mibovu, rushwa na kushindwa viongozi kusimamia miongozo ya kiuchumi katika nchi za Afrika kumetajwa kuwa ndicho chanzo za kuzifanya nchi hizo zishindwe kujikomboa kimaendelea na kufanya wananchi wake walio wengi waishi katika umaskini wa kupindukia.

  • SAUTI: Wakulima wa Uganda na Kenya washauriwa kutumia kilimo bora

    SAUTI: Wakulima wa Uganda na Kenya washauriwa kutumia kilimo bora

    Nov 16, 2016 06:25

    Wakulima nchini Uganda na Kenya wameshauriwa kutumia kilimo bora cha uzalishaji mazao yanayotumiwa sana na raia wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa lengo la kukabiliana na njaa. Aidha wakulima hao wametakiwa kulima vyakula ambavyo ni rahisi kwa kilimo na mavuno. Mwandishi wa Radio Tehran, Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala.

  • SAUTI: Waislamu duniani watakiwa kutofanya jazba katika kuchukua maamuzi

    SAUTI: Waislamu duniani watakiwa kutofanya jazba katika kuchukua maamuzi

    Oct 09, 2016 15:13

    Waislamu kote ulimwengu wametakiwa wametakiwa kujifunza vyema dini yao na kutokubali kuingizwa kwenye magenge yanayotumia dini kutenda vitendo vilivyo kinyume na Uislamu. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti ya mwandishi wa Radio Tehran, jijini Dar es Salaam, Tanzania.

  • SAUTI: Serikali ya Jakaya Kikwete yabebeshwa zigo la lawama Tanzania

    SAUTI: Serikali ya Jakaya Kikwete yabebeshwa zigo la lawama Tanzania

    Aug 23, 2016 02:37

    Hatua ya kuzidi kufichuliwa wafanyakazi hewa katika taasisi mbalimbali za serikali nchini Tanzania, kumewafanya wananchi wa nchi hiyo waibebeshe mzigo wa lawama serikali ya ilyopita ya Jakaya Mrisho Kikwete na kulalamika kuwa fedha nyingi za umma zilipotea kutokana na udhaifu wa serikali hiyo. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti ya mwandishi wa Radio Tehran, jijini Dar es Salaam.

  • Waislamu Tanzania watakiwa kusherehekea Idul Fitr kwa namna inayokubalika

    Waislamu Tanzania watakiwa kusherehekea Idul Fitr kwa namna inayokubalika

    Jul 05, 2016 02:48

    Huku Waislamu wakijiandaa kwa ajili ya sherehe za Iddil-Fitri kutokana na kuelekea kumalizika mwezi mtukufu wa Ramadhani, Waislamu nchini Tanzania wametakiwa kuadhimisha sherehe hizo kwa Amani na utulivu. Hayo yamesemwa na Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salum, ambapo pia amewataka Waislamu hao kujiepusha kumuasi Mwenyezi Mungu katika sherehe hizo….

  • Wananchi wa Uganda walalamikia ziara ya Netanyahu nchini mwao

    Wananchi wa Uganda walalamikia ziara ya Netanyahu nchini mwao

    Jul 05, 2016 02:44

    Raia nchini Uganda wamekosoa ziara ya Waziri Mkuu wa Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu nchini humo, kutokana na ukatili wa kutisha unaofanywa na utawala huo dhidi ya wananchi madhlum wa Palestina. Waganda wameihoji serikali yao kwa kumwalika Netanyahu huku akijua kuwa kiongozi huyo wa Israel ni mvunjaji mkubwa wa haki za binaadamu.

  • Kuendelea radiamali za kutiwa mbaroni wanasiasa nchini Kenya

    Kuendelea radiamali za kutiwa mbaroni wanasiasa nchini Kenya

    Jun 18, 2016 06:47

    Hatua ya polisi ya Kenya ya kuwatia nguvu wanasiasa kadhaa kwa tuhuma za kuchochea machafuko na chuki za kikabila imepokewa kwa hisia tofauti, huku sauti ya chama cha ODM ikiwa kali zaidi kupinga zoezi hilo. Mwandishi wa Radio Tehran wa Mombasa Kenya na ripoti zaidi...