-
Zarif: Marekani inajaribu kupotosha ukweli kuhusu mashambulizi ya Septemba 11
Nov 03, 2017 14:17Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani inafanya juu chini kupotosha ukweli wa mambo kuhusu mashambulio ya kigaidi ya Septemba 11 mwaka 2001.
-
Wakuu wa usalama wapigwa kalamu kufuatia mashambulizi ya kigaidi Somalia
Oct 29, 2017 15:59Wakuu wa vyombo vya usalama nchini Somalia wamepigwa kalamu nyekundu kufuatia mashambulizi ya kigaidi ya jana Jumamosi yaliyosababisha makumi ya watu kuuawa na kujeruhiwa.
-
Makumi ya Waislamu wauawa msikitini mjini Kabul, Daesh yajigamba imehusika
Oct 20, 2017 17:14Waislamu wasiopungua 32 wameuawa shahidi leo katika shambulizi la kigaidi lililofanyika ndani ya msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
-
71 wauawa katika mashambulizi ya kigaidi ya Taliban, Afghanistan
Oct 17, 2017 15:11Watu wasiopungua 71 wameuawa huku wengine 200 wakijeruhiwa katika wimbi jipya la mashambulizi ya kigaidi ya kundi la Taliban nchini Afghanistan leo Jumanne.
-
Makumi wakiwemo Wairani 3 wauawa katika miripuko pacha ya mabomu Iraq
Sep 14, 2017 14:41Kwa akali watu 50 wakiwemo raia watatu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameuawa katika mashambulizi pacha ya mabomu na ufyatuaji risasi huko kusini mwa Iraq.
-
14 wauawa, kujeruhiwa katika shambulizi karibu na ubalozi wa US, Kabul
Aug 29, 2017 07:42Habari kutoka Afghanistan zinasema, kwa akali watu watano wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia shambulizi la bomu lililotokea karibu na ubalozi wa Marekani mjini Kabul hii leo.
-
Iran yalaani shambulizi la kigaidi la Barcelona
Aug 18, 2017 15:02Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali shambulizi la kikatili na kigaidi lililotokea jana Barcelona huko Uhispania na kusema taifa la Iran linatoa mkono wa pole kwa serikali, taifa na familia za wahanga wa shambulizi hilo.
-
Iran yalaani shambulio la kigaidi lilioua na kujeruhi zaidi ya 100 Nigeria
Aug 17, 2017 02:38Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani shambulio la kigaidi lililosababisha mauaji ya makumi ya watu nchini Nigeria usiku wa kuamkia jana Jumatano.
-
Walinganiaji wa Qur'ani kutoka Kuwait wauawa katika shambulizi la Burkina Faso
Aug 15, 2017 16:17Walinganiaji wawili wa Qur'ani kutoka Kuwait ni miongoni mwa raia wa kigeni waliouawa katika shambulizi la kigaidi lililolenga mgahawa wa Aziz Istanbul katika mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou usiku wa kuamkia jana.
-
Askari 7, raia 1 wauawa katika mashambulizi ya mabomu Somalia
Aug 06, 2017 07:40Kwa akali askari saba wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika mashambulizi ya mabomu yalilolenga msafara wa magari ya jeshi karibu na mji wa Baidoa nchini Somalia.