-
Iran yalaani mashambulizi ya kigaidi dhidi ya Makanisa Misri
Apr 10, 2017 03:06Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali mashambulizi ya kigaidi dhidi ya makanisa mawili nchini Misri hapo jana, ambapo makumi ya watu waliuawa na wengine wengi kujeruhiwa.
-
Watu 15 wauawa katika mlipuko wa bomu Mogadishu, Somalia
Apr 09, 2017 09:52Watu wasiopungua 15 wameuawa baada ya bomu lililotegwa ndani ya gari kuripuka nje ya kambi ya jeshi katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Wimbi la mlipuko wa mabomu dhidi ya makanisa laua makumi nchini Misri
Apr 09, 2017 09:27Watu wasiopungua 140 wameuawa na kujeruhiwa katika wimbi la mashambulizi ya mabomu yaliyolenga makanisa nchini Misri hii leo.
-
Watu kadhaa wauawa katika mripuko wa kigaidi Somalia
Apr 05, 2017 11:40Mripuko wa kigaidi ulioukumba mji mkuu wa Somalia, Mogadishu, umeua watu kadhaa.
-
Rais Rouhani: Kutokomeza ugaidi kunahitaji juhudi za jamii ya kimataifa
Apr 04, 2017 11:46Rais Hassan Rouhani amelaani shambulio la kigaidi la mripuko wa bomu uliotokea kwenye treni ya chini ya ardhi katika mji wa St. Petersburg nchini Russia na kusisitiza kuwa kuutokomeza ugaidi kunahitaji juhudi za jamii ya kimataifa.
-
Waziri Mkuu wa Uingereza akiri udhaifu wa vyombo vya usalama nchini humo
Mar 24, 2017 00:04Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May Alkhamisi ya jana amehutubi Bunge la nchi hiyo na kukiri kuwa mtekelezaji wa hujuma ya kigaidi Jumatano iliyopita karibu na jengo la Bunge la nchi hiyo, alikuwa anajulikana katika vyombo vya usalama vya Uingereza.
-
Wimbi la mashambulizi ya kigaidi laua na kujeruhi 28 Maiduguri, Nigeria
Mar 22, 2017 11:36Kwa akali watu wanane wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa katika wimbi la hujuma za kigaidi lililoutikisa mji wa Maiduguri, kaskazini mashariki mwa Nigeria mapema leo.
-
Miripuko mitatu yaua watu kadhaa karibu na mji wa Maiduguri, Nigeria
Mar 19, 2017 13:00Hali ya taharuki imeukumba mji wa Maiduguri, kufuatia miripuko mitatu ya kigaidi iliyotokea karibu na mji huo na kuua watu kadhaa na wengne kujeruhiwa.
-
Watu 8 wauawa, katika mripuko wa bomu Mogadishu, Somalia
Mar 13, 2017 10:56Polisi ya Mogadishu, mji mkuu wa Somalia imetangaza habari ya kuuawa watu wanane katika mripuko wa bomu uliotokea leo mjini humo.
-
Iran, Hizbullah zalaani hujuma ya kigaidi mjini Damascus
Mar 12, 2017 03:57Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani mashambulizi ya kigaidi yaliyofanyika jana Jumamosi katika mji wa Damascus nchini Syria, ambapo makumi ya watu waliuawa na wengine wengi kujeruhiwa.