-
Shambulizi la bomu la Daesh laua askari 17 nchini Iraq
May 13, 2016 03:19Kwa akali askari 17 wa jeshi la Iraq wameuawa katika shambulizi la bomu lililofanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika mkoa wa Anbar, magharibi mwa nchi hiyo.
-
Hujuma ya Daesh nchini Libya yaua watu watano
May 06, 2016 09:33Watu watano wameuawa katika shambulizi la bomu la kutegwa garini la kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika mji wa Misrata, magharibi mwa Libya.
-
Magaidi waendeleza ukatili Syria, makumi wauawa Aleppo
May 03, 2016 12:00Makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na nchi za kigeni yameshambulia hospitali na maeneo kadhaa ambayo yako chini ya udhibiti wa serikali katika mji wa Aleppo, kaskazini mwa Syria na kusababisha mauaji ya watu wasiopungua 19.
-
Umoja wa Mataifa: 741 waliuawa mwezi Aprili nchini Iraq
May 01, 2016 23:33Takwimu za hivi punde za Umoja wa Mataifa zinaonyesha kuwa idadi ya watu waliouawa katika machafuko na wimbi la mashambulizi ya kigaidi nchini Iraq mwezi uliopita wa Aprili ni watu 741.
-
Makumi waua katika mashambulizi ya bomu Iraq
May 01, 2016 09:59Kwa akali watu 38 wameuawa na wengine 86 kujeruhiwa katika mashambulizi pacha ya mabomu ya kutegwa kwenye magari katika mji wa Samawa, kusini mwa Iraq.
-
Askari 15 wa Somalia wauawa katika hujuma ya al-Shabaab
May 01, 2016 09:39Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limeua askari 15 wa jeshi la Somalia sanjari na kuchukua udhibiti wa mji wa Runirgood, yapata kilomita 180 kaskazini mashariki mwa mji mkuu Mogadishu.
-
Watu 12 wauawa katika hujuma za kigaidi mjini Baghdad, Iraq
Apr 24, 2016 00:02Kwa akali watu 12 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa katika mashambulizi mawili ya bomu katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
Makumi wauawa katika shambulizi la bomu Kabul, Afghanistan
Apr 19, 2016 03:26Makumi ya watu wameuawa na mamia ya wengine kujeruhiwa katika mripuko wa bomu ulioutikisa mji wa Kabul karibu na ubalozi wa Marekani nchini Afghanistan mapema leo.
-
Ghana yazidisha ulinzi, magaidi watishia kuishambulia
Apr 16, 2016 23:55Rais John Dramani Mahama wa Ghana ameamuru kuchukuliwa hatua kali za kiusalama baada ya kuongezeka wimbi la mashambulizi ya kigaidi katika nchi za magharibi mwa Afrika.
-
Larijani: Ukosefu wa usalama katika Ulimwengu wa Kiislamu ni kwa maslahi ya Israel
Mar 29, 2016 23:39Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesema ukosefu wa usalama na wimbi la mashambulio ya kigaidi katika Ulimwengu wa Kiislamu vinafanywa na wale wanaotumikia maslahi ya utawala wa kizayuni wa Israel.