-
Barham Salih: Shambulio la Diyala linaonyesha kushindwa magaidi nchini Iraq
Jan 22, 2022 05:17Rais wa Iraq almesisitiza kuwa shambulio la kigaidi katika mkoa wa Diyala ni kitendo cha chuki kinacholenga usalama wa Iraq.
-
AU yasikitishwa na shambulio la kigaidi lililoua watu 69 Niger
Nov 05, 2021 23:54Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amelaani shambulio la kigaidi lililoua makumi ya watu huko kusini magharibi mwa Niger.
-
Waliouawa katika shambulio la kigaidi nchini Burkina Faso waongezeka na kufika 80
Aug 20, 2021 02:58Serikali ya Burkina Faso imetangaza kuwa, idadi ya watu waliouawa katika shambulio la kigaidi lililotokea nchini humo katika eneo la Sahel imefika 80.
-
Wanajeshi 15 wa Niger wauawa katika shambulio la kigaidi huko Torodi
Aug 02, 2021 02:26Wizara ya Ulinzi ya Niger imetangaza kuwa, kwa akali wanajeshi wake 15 wameuawa kufuatia shambulio la kigaidi kusini magharibi mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Kigali: Mwenyeji wa kikao cha mameya wa miji ya Francophone + Sauti
Jul 21, 2021 11:30Meya wa miji mikuu ya nchi zinazotumia lugha ya Kifaransa wameyahimiza mataifa wanachama hasa yale yaliyoko kusini mwa jangwa la Sahara barani Afrika kulipa kipaumbele suala la kuwaelimisha wananchi wao kuhusu elimu ya uzazi wa mpango. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi.
-
Watu kadhaa wauawa na kujeruhiwa katika shambulio la magaidi wa Boko Haram huko Niger
Dec 14, 2020 04:13Magaidi wa kundi la Boko Haram wamekishambulia kijiji kimoja kusini mashariki mwa Niger na kuua na kujeruhi watu kadhaa.
-
Spika Qalibaf asisitiza nchi za eneo kushirikiana ili kuutokomeza ugaidi
Nov 07, 2020 23:07Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililolenga wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kabul nchini Afghanistan na kusisitizia ulazima wa nchi za eneo kushirikiana pamoja ili kuutokomeza ugaidi.
-
Askari wengine wa Ufaransa wauawa na kujeruhiwa nchini Mali
Sep 06, 2020 03:09Wanajeshi wawili wa Ufaransa wameuawa huku mwingine mmoja akijeruhiwa katika shambulizi la kigaidi huko kaskazini mwa Mali.
-
Wanavijiji 12 wauawa Mali, huku mazungumzo ya kutatua mzozo wa kisiasa yakiendelea
Jul 17, 2020 03:30Raia wasiopungua 12 wameuliwa baada ya watu wasiojulikana waliobeba silaha wakiwa wamepanda pikipiki kushambulia vijiji kadhaa vya wakulima wa kabila la Dogon katika eneo la Mopti, katikati mwa Mali.
-
Mashambulizi pacha ya mabomu yaua raia na askari kadhaa nchini Somalia
Jun 21, 2020 10:23Kwa akali watu saba wameuawa katika mashambulizi mawili tofauti ya mabomu yanayoaminika kufanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab huko kusini na katikati mwa Somalia ndani ya masaa 24.