-
Odinga: Sina kinyongo, nimeridhishwa na matokeo ya uchaguzi wa AUC
Feb 16, 2025 02:53Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga amesema ameridhishwa na mchakato wa uchaguzi wa kumtafuta Mwenyekiti mpya wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC), kurithi mikoba ya Moussa Faki Mahamat.
-
AU yailaani Israel kwa kupanua mashambulizi yake hadi Rafah
May 09, 2024 02:31Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amelaani vikali mashambulizi ya utawala haramu wa Israel katika mji wa Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Mashirika yaitaka AU isiipe Israel uanachama kwenye umoja huo
Feb 17, 2024 12:25Kundi moja la asasi za kiraia limeutaka Umoja wa Afrika utupilie mbali ombi la utawala wa Kizayuni wa Israel la kuwa mwanachama mtazamaji wa AU, na kufufua mjadala uliodumu kwa miaka miwili kuhusu kadhia hiyo.
-
Odinga asema yuko tayari kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU
Feb 16, 2024 02:46Kinara wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga ametangaza rasmi azma yake ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU).
-
Umoja wa Afrika wapongeza amri ya ICJ ya kutaka kuzuiwa mauaji ya kimbari Gaza
Jan 28, 2024 13:34Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amekaribisha na kupongeza uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) wa kuitaka Israel ichukue hatua zote zinazohitajika kuzuia vitendo vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Mkuu wa AU atoa mwito wa kusitishwa vita Ukanda wa Gaza
Jan 17, 2024 07:41Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) kwa mara nyingine tena ametoa mwito wa kusitishwa vita katika Ukanda wa Gaza kwa misingi ya ubinadamu.
-
AU yataka pande hasimu Sudan zisitishe mapigano
Dec 20, 2023 03:04Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika ametoa mwito kwa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) na Jeshi la Sudan kusitisha uhasama na mapigano mara moja, na kwenda kwenye meza ya mazungumzo kwa shabaha ya kurejesha utulivu, uthabiti na amani endelevu katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
AU: Juhudi za pamoja zinahitajika kudumisha amani Tigray
Nov 03, 2023 12:27Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amesisitizia haja ya kuwepo jitihada za pamoja kwa ajili ya kudumisha amani katika eneo la Tigray la kaskazini mwa Ethiopia na eneo zima la Pembe ya Afrika.
-
Umoja wa Afrika walaani shambulizi la kikatili la Israel dhidi ya hospitali Gaza
Oct 18, 2023 12:25Umoja wa Afrika umelaani vikali shambulio la anga lililofanywa na jeshi la utawala haramu wa Israel dhidi ya hospitali ya Al Ahli Arab katika Ukanda wa Gaza hapo jana na kuua mamia ya watu.
-
AU kundoa askari wengine 3,000 kutoka Somalia
Aug 30, 2023 08:05Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (ATMIS) kimesema kitawaondoa wanajeshi wengine 3,000 katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.