-
Igad yaalani mashambulizi ya kundi la al Shabab, Somalia
Jan 27, 2017 04:40Jumuiya ya Kieneo ya Nchi za Afrika Mashariki (IGAD) imelaani mashambulizi ya kundi la wanamgambo wa al Shabab katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Somalia yatangaza tarehe mpya ya uchaguzi wa rais
Jan 26, 2017 10:14Kwa mara nyingine tena Somalia imetangaza tarehe mpya ya kufanyika uchaguzi wa rais licha ya mji mkuu wa nchi hiyo kutikiswa na shambulizi la kigaidi hapo jana.
-
Wahanga wa shambulizi la ash-Shabab Somalia waongezeka na kufikia 83
Jan 26, 2017 04:03Watu 83 wameripotiwa kuuawa katika shambulizi la kigaidi lililotekelezwa jana na wanachama wa genge la ash-Shabab lenye mafungamano na kundi la al-Qaidah huko Somalia.
-
Watu 15 wauawa katika mlipuko wa bomu katika hoteli moja mjini Mogadishu Somalia
Jan 25, 2017 11:32Watu wasiopungua 15 wameuawa mjini Mogadishu Somalia na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia mlipuko wa bomu uliotokea katika lango la hoteli moja.
-
Magaidi wa al-Shabab washambulia Lower Shebelle, Somalia 5 wauawa
Jan 24, 2017 11:27Wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabab nchini Somalia wamefanya shambulizi eneo la Lower Shebelle na kuua watu watano.
-
Pigo jingine kwa wanamgambo wa al Shabab nchini Somalia
Jan 21, 2017 10:19Jeshi la Somalia limetangaza kuwa, wanamgambo wasiopungua sita wa al Shabab wameuawa katika operesheni ya jeshi hilo kusini mwa nchi hiyo.
-
UN: Somalia inahitaji misaada ya dharura kukabiliana na njaa
Jan 19, 2017 04:09Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu misaada ya kibinadamu, OCHA, imezindua ombi la dola milioni 864 kwa ajili ya kushughulikia mahitaji ya kibinadamu nchini Somalia kwa mwaka huu wa 2017.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusiana na ukame nchini Somalia
Jan 18, 2017 13:09Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusiana na kuongezeka matatizo ya Somalia kutokana na ukame unaoikabili nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Burundi yaanza kuondoa askari wake wa kulinda amani Somalia
Jan 17, 2017 01:02Serikali ya Burundi imeanza kuwaondoa wanajeshi wake wanaohudumu katika Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia Amisom kutokana na mgogoro wa mshahara.
-
AU, EU na UN zataka kutatuliwa tofauti zilizopo jimbo la Galmudug, Somalia
Jan 14, 2017 23:09Wawakilishi wa Umoja wa Afrika, Umoja wa Ulaya na Umoja wa Mataifa wametaka kutatuliwa haraka tofauti zilizopo katika jimbo la Galmudug nchini Somalia kupitia njia ya mazungumzo.