Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • UN: Mgogoro wa chakula Somalia umeongezeka sana na kutishia maisha ya raia

    UN: Mgogoro wa chakula Somalia umeongezeka sana na kutishia maisha ya raia

    Sep 21, 2016 04:09

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha juu ya mgogoro wa chakula na njaa kali iliyofikia asilimia 40 nchini Somalia .

  • AMISOM: Lazima tutawafyeka wanachama wa kundi la kigaidi la ash-Shabab Somalia

    AMISOM: Lazima tutawafyeka wanachama wa kundi la kigaidi la ash-Shabab Somalia

    Sep 18, 2016 23:44

    Msemaji wa askari wa kusimamia amani wa Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM amesisitizia udharura wa kulitokomeza kundi la kigaidi na kitakfiri la ash-Shabab nchini humo.

  • Jenerali wa jeshi Somalia auawa katika shambulizi lililolenga msafara wake

    Jenerali wa jeshi Somalia auawa katika shambulizi lililolenga msafara wake

    Sep 18, 2016 09:50

    Polisi ya Somalia imetangaza kutokea mripuko wa bomu lililotegwa garini katika mji mkuu Mogadishu ukimlenga kamanda wa jeshi la nchi hiyo.

  • Somalia na changamoto ya kurejea nyumbani wakimbizi walioke nje ya nchi

    Somalia na changamoto ya kurejea nyumbani wakimbizi walioke nje ya nchi

    Sep 17, 2016 23:35

    Katika hali ambayo vita vya ndani na mizozo ya kikabila inayoendelea sasa katika nchi kadhaa za Kiafrika vimeibua wimbi kubwa la wakimbizi katika nchi jirani za maeneo mbalimbali ya bara hilo, serikali za nchi za bara hilo sasa zinakabiliwa na matatizo mapya ya jinsi ya kurejea wakimbizi hao katika nchi zao baada ya kumalizika vita na machafuko ya ndani katika baadhi ya nchi hizo.

  • Jeshi la Somalia lakomboa mji wa karibu na Kenya uliokuwa umetekwa na ash Shabab

    Jeshi la Somalia lakomboa mji wa karibu na Kenya uliokuwa umetekwa na ash Shabab

    Sep 17, 2016 12:02

    Jeshi la Somalia limefanikiwa kuukomboa mji uliokuwa umetekwa na wanamgambo wa ash Shabab kusini mwa nchi hiyo.

  • Viongozi wa Jumuiya ya IGAD wasisitiza kufanyika uchaguzi huru nchini Somalia

    Viongozi wa Jumuiya ya IGAD wasisitiza kufanyika uchaguzi huru nchini Somalia

    Sep 14, 2016 03:21

    Viongozi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kieneo ya Mashariki mwa Afrika IGAD wameitaka serikali ya Somalia kufanya uchaguzi huru na wenye itibari nchini humo.

  • Usalama waimarishwa Somalia kabla ya mkutano wa kilele wa IGAD

    Usalama waimarishwa Somalia kabla ya mkutano wa kilele wa IGAD

    Sep 12, 2016 02:20

    Serikali ya Somalia imeimarisha usalama kote katika nchi hiyo, hususan mji mkuu Mogadishu, wakati wa kufanyika kwa mkutano wa Shirika la Maendeleo la Kiserikali la Nchi za Afrika Mashariki IGAD mjini humo hapo kesho

  • Usalama waimarishwa Somalia kabla ya kuanza kikao cha viongozi wa IGAD

    Usalama waimarishwa Somalia kabla ya kuanza kikao cha viongozi wa IGAD

    Sep 11, 2016 02:30

    Serikali ya Somalia imechukua hatua kali za kuimarisha usalama katika mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu sambamba na kukaribia kufanyika kikao cha viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ustawi wa Mashariki mwa Afrika IGAD

  • Kikosi cha AMISOM chadhibiti ngome muhimu ya al-Shabab nchini Somalia

    Kikosi cha AMISOM chadhibiti ngome muhimu ya al-Shabab nchini Somalia

    Sep 09, 2016 10:10

    Kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM kimefanikiwa kudhibiti ngome muhimu ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la al-Shabab katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • Wanachama wanne wa  Daesh watiwa mbaroni Somalia

    Wanachama wanne wa Daesh watiwa mbaroni Somalia

    Sep 05, 2016 09:32

    Wanachama wanne wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wametiwa mbaroni kusini mwa Somalia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS