-
Usalama waimarishwa Somalia kabla ya mkutano wa kilele wa IGAD
Sep 12, 2016 02:20Serikali ya Somalia imeimarisha usalama kote katika nchi hiyo, hususan mji mkuu Mogadishu, wakati wa kufanyika kwa mkutano wa Shirika la Maendeleo la Kiserikali la Nchi za Afrika Mashariki IGAD mjini humo hapo kesho
-
Usalama waimarishwa Somalia kabla ya kuanza kikao cha viongozi wa IGAD
Sep 11, 2016 02:30Serikali ya Somalia imechukua hatua kali za kuimarisha usalama katika mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu sambamba na kukaribia kufanyika kikao cha viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ustawi wa Mashariki mwa Afrika IGAD
-
Kikosi cha AMISOM chadhibiti ngome muhimu ya al-Shabab nchini Somalia
Sep 09, 2016 10:10Kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM kimefanikiwa kudhibiti ngome muhimu ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la al-Shabab katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Wanachama wanne wa Daesh watiwa mbaroni Somalia
Sep 05, 2016 09:32Wanachama wanne wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wametiwa mbaroni kusini mwa Somalia.
-
Wanamgambo wa al-Shabab wauawa katika operesheni ya jeshi la Somalia Baidoa
Sep 03, 2016 23:43Vikosi vya usalama vya Somalia vimefanya operesheni kubwa dhidi ya wanamgambo wa kigaidi wa al-Shabab katika eneo la kusini magharibi mwa nchi hiyo.
-
AU: Hatua zaidi zichukuliwe kuzuia vijana kufuatia itikadi za msimamo mkali Somalia
Sep 02, 2016 10:23Kikosi cha Umoja wa Afrika cha Kulinda Amani Somalia (AMISOM) kimetoa wito kwa vijana kushirikiana na polisi katika kupambana na itikadi za misimamo mikali na kuimarisha amani na utulivu nchini humo.
-
Ash-Shabab yashambulia tena mjini Mogadishu, watu kadhaa wauawa
Aug 27, 2016 03:15Kundi la kigaidi na kitakfiri la ash-Shabab nchini Somalia limefanya shambulizi lingine mjini Mogadishu, mji mkuu wa nchi hiyo.
-
AU kushirikiana na Somalia kudhaminii usalama wakati wa uchaguzi
Aug 23, 2016 23:05Umoja wa Afrika (AU) umeeleza kuwa utashirikiana na Somalia kudhamini usalama wakati wa kufanyika uchaguzi nchini humo.
-
Kenyatta: Vikosi vya AMISOM vimepiga hatua katika mapambano dhidi ya Al-Shabab
Aug 23, 2016 00:20Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema jeshi la Somalia na vikosi vya Umoja wa Afrika vilivyotumwa nchini humo (AMISOM) vimepiga hatua ya kuridhisha katika vita dhidi ya wanamgambo wa kundi la Al-AShabab nchini Somalia.
-
Shambulio la mabomu laua watu wasiopungua 20 Somalia
Aug 21, 2016 11:05Watu wasiopungua 20 wameuawa katika miripuko miwili ya mabomu yaliyotegwa garini iliyotokea katika mji wa Galkayo ulioko kwenye makao makuu ya eneo linalojiendeshea mambo yake la Puntland nchini Somalia.