-
Magaidi wanne wa ash-Shabab waangamizwa Somalia
Aug 20, 2016 10:15Askari wa kusimamia amani wa Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) wametangaza habari ya kuuawa wanachama wanne wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al Shabab nchini humo.
-
AU; Uchaguzi Somalia lazima ufanyike kama ilivyopangwa
Aug 18, 2016 09:47Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Afrika nchini Somalia amesiistiza juu ya azma ya umoja huo ya kuhakikisha kuwa uchaguzi wa Rais na Bunge huko Somalia unafanyika kama ilivyoainishwa.
-
Askari wa AU nchini Somalia wafungwa jela kwa kufanya ulaghai
Aug 16, 2016 23:27Askari tisa wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM wamehukumiwa vifungo jela kwa kuendesha biashara ya ulaghai ya mafuta katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Maafisa usalama wa Somalia kupatiwa mafunzo zaidi na kikosi cha AMISOM
Aug 14, 2016 09:47Kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM kimeazimia kuongeza kozi za mafunzo kwa maafisa usalama wa nchi hiyo ya pembe ya Afrika.
-
Somalia kuelekea kwenye siasa za vyama ili kuondoa ushindani wa kikoo
Aug 11, 2016 00:02Kongamano la viongozi wa kanda na wa kitaifa wa Somalia limetangaza kuwa wabunge watakaochaguliwa katika bunge jipya litakaloundwa mwaka huu watalazimika kujiunga na chama cha siasa ndani ya kipindi cha miaka miwili au kujiuzulu, ikiwa ni katika juhudi za kuliondoa taifa hilo la Pembe ya Afrika kwenye siasa za kikoo.
-
Stratijia mpya ya jeshi la Somalia na Umoja wa Afrika katika kukabiliana na ash-Shabab
Aug 08, 2016 23:15Askari wa kusimamia amani wa Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) kwa kushirikiana na askari wa serikali ya nchi hiyo, wamebadili stratijia kwa ajili ya kupambana na kundi la kigaidi na kitakfiri la ash-Shabab.
-
Stratijia mpya ya jeshi la Somalia na Umoja wa Afrika katika kukabiliana na ash-Shabab
Aug 08, 2016 23:14Askari wa kusimamia amani wa Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) kwa kushirikiana na askari wa serikali ya nchi hiyo, wamebadili stratijia kwa ajili ya kupambana na kundi la kigaidi na kitakfiri la ash-Shabab.
-
Kamisheni ya Uchaguzi Somalia yatangaza tarehe mpya ya uchaguzi wa Rais
Aug 08, 2016 10:09Kamisheni ya Uchaguzi ya Somalia imetangaza kuwa, uchaguzi wa Rais nchini humo utafanyika tarehe 30 Oktoba mwaka huu.
-
Oparesheni ya vikosi vya Somalia dhidi ya al Shabab
Aug 04, 2016 23:45Askari usalama wa Somalia wamefanya oparesheni dhidi ya wanamgambo wa kundi la al Shabab na kuuwa wanamgambo kadhaa.
-
AMISOM yapata kamanda mpya nchini Somalia
Aug 02, 2016 00:12Osman Nour Soubagleh ameteuliwa kuwa kama mpya wa askari wa Umoja wa Afrika AMISOM nchini Somalia.