-
10 wauawa katika mashambulizi pacha ya mabomu Mogadishu
Jul 31, 2016 11:48Kwa akali watu 10 wameuawa katika mashambulizi pacha ya mabomu ya kutegwa garini katika makao makuu ya Idara ya Upelelezi mjini Mogadishu nchini Somalia.
-
Vikosi vya Somalia na vya Amisom vyaukomboa mji muhimu kutoka kwa al-Shabab
Jul 31, 2016 00:18Mji muhimu wa kiistratejia nchini Somalia uliokuwa chini ya udhibiti wa wanamgambo wa al-Shabab umekombolewa na vikosi vya serikali vikishirikiana na vile vya Umoja wa Afrika AMISOM.
-
UNHCR: Maelfu ya wakimbizi wa Kisomali nchini Kenya wamerejea kwao kwa hiari
Jul 29, 2016 03:35Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, maelfu ya wakimbizi wa Somalia huko nchini Kenya wamerejea kwao kwa hiari.
-
13 wauawa katika mashambulizi pacha ya mabomu Mogadishu, Somalia
Jul 26, 2016 12:24Mashambulizi pacha ya mabomu yamesababisha vifo vya watu zaidi ya 13 karibu na kambi ya Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM na nje ya ofisi za Umoja wa Mataifa katika mji mkuu Mogadishu.
-
Kanali Baratuza: Wanajeshi wa Burundi wataendelea kuhudumu katika kikosi cha AMISOM
Jul 25, 2016 09:43Msemaji wa jeshi la Burundi amesema kuwa, wanajeshi wa nchi hiyo walioko nchini Somalia wataendelea kuhudumu chini ya mwavuli wa kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Afrika (AMISOM).
-
AU kuondoa majeshi yake Somalia mwaka 2018
Jul 19, 2016 03:10Umoja wa Afrika (AU) umetangaza kuwa, mchakato wa kuondoa kikosi cha majeshi yake nchini Somalia (AMISOM) utaanza mwaka 2018.
-
Al-shabaab washambulia kambi ya jeshi na kuua askari 10
Jul 11, 2016 03:19Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limeshambulia kwa bomu kambi moja ya jeshi kusini magharibi mwa mji mkuu wa Somalia Mogadishu na kuua wanajeshi 10 wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Polisi ya Somalia yaimarisha doria nchini humo
Jul 09, 2016 08:55Duru za usalama nchini Somalia zimeeleza kuwa, jeshi la polisi la nchi hiyo limeimarisha doria katika maeneo ya kusini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Kenya yakanusha ripoti ya UN ya kuua raia 29 Somalia
Jul 08, 2016 23:51Kenya imekanusha vikali ripoti ya Umoja wa Mataifa inayodai kuwa Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo KDF liliua raia wapatao 29 katika hujuma ya anga iliyolifanya baada ya wanamgambo wa al-Shabaab kuvamia kambi ya jeshi hilo katika eneo la El-Adde nchini Somalia Januari mwaka huu na kuua idadi kubwa ya askari wa Kenya waliokuwa chini ya kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM).
-
Muswada wa sheria ya usawa wa jinsia wazua mpasuko Somalia
Jul 04, 2016 02:38Muswada wa sheria inayoshinikiza usawa wa jinsia nchini Somalia umeibua mjadala, malumbano na uhasama kati ya viongozi wa kidini na mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini humo.