-
Watu kadhaa wauawa katika shambulio la Al-Shabab nchini Somalia
Jul 02, 2016 09:01Duru za habari nchini Somalia, zimearifu kuuawa na kujeruhiwa watu kadhaa katika hujuma iliyofanywa na wanachama wa kundi la kigaidi la ash-Shabab, hii leo kusini magharibi mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Mogadishu.
-
Wakimbizi wa kambi ya Dadaab waanza kurejeshwa makwao
Jul 02, 2016 03:33Operesheni ya kuwarejesha makwao wakimbizi wanaoishi katika kambi ya Dadaab huko mashariki mwa Kenya imeanza kutekelezwa.
-
Usalama waimarishwa Somalia baada ya makumi ya watu kuuawa Lafole
Jun 30, 2016 10:32Hatua kali za kiusalama zimechukuliwa nchini Somalia baada ya mlipuko wa bomu uliotokea kandokando ya barabara katika mji wa Lafolena kuua makumi ya watu.
-
18 waua katika shambulizi la bomu nchini Somalia
Jun 30, 2016 03:46Kwa akali watu 18 wameripotiwa kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika shambulizi la bomu mapema leo katika mji wa Lafole, kusini magharibi mwa Somalia.
-
Umoja wa Mataifa walaani shambulizi la kigaidi na mauaji ya waziri Mogadishu
Jun 28, 2016 09:39Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Michael Keating, amelaani vikali shambulizi la kigaidi lililotokea mwishoni mwa wiki iliyopita dhidi ya hoteli ya Naso Hablod kusini mwa Mogadishu, ambako watu 25 waliuawa na wengine wengi kujeruhiwa.
-
Shambulio la kigaidi nchini Somalia
Jun 26, 2016 06:20Shambulio la kigaidi la wanamgambo wa al-Shabab dhidi ya hoteli moja katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu kwa mara nyingine tena limepelekea zaidi ya watu 40 kuuawa na kujeruhiwa.
-
Uganda yatangaza tarehe ya kuondoa askari wake Somalia
Jun 24, 2016 09:56Uganda imetangaza kuwa itaondoa askari wake walioko nchini Somalia chini ya mwavuli wa Kikosi cha Kusimamia Amani cha Umoja wa Afrika AMISOM kufikia mwishoni mwa mwaka ujao 2017.
-
Dunia yaipongeza Kenya kwa kupunguza uharamia Afrika Mashariki
Jun 18, 2016 09:25Hatua ya Kenya kutuma jeshi lake nchini Somalia imechangia kupunguza kwa kiasi kikubwa uharamia katika pwani ya Bahari ya Hindi Afrika Mashariki.
-
Viongozi wa Somalia wakasirishwa na misaada ya chakula ya UN ya nafaka zilizooza
Jun 17, 2016 00:14Viongozi wa Somalia wamekasirika kwa kutumwa nchini humo misaada ya chakula ya Umoja wa Mataifa ya nafaka zilizooza kwa ajili ya raia wa nchi hiyo.
-
UNHCR: Muda zaidi unahitajika kuwahamisha wakimbizi Wasomali nchini Kenya
Jun 13, 2016 22:39Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) Filippo Grandi, amesema serikali ya Kenya inapaswa kulegeza msimamo wake kuhusu muda wa mwisho iliotoa kwa ajili ya kuwarejesha makwao wakimbizi wapatao 350,000 Wasomali walioko nchini humo.