-
Qalibaf aonya kuwa Iran italipiza kisasi kwa kushambulia rasilimali za nishati za Marekani
Sep 08, 2026 04:36Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, ametoa onyo kali kwa Marekani kwamba shambulizi lolote dhidi ya rasilimali za mafuta na gesi za Iran litajibiwa kwa hatua sawa, akisisitiza kuwa makampuni na miundombinu ya nishati ya Marekani katika eneo hili iko katika hali sawa ya hatari.
-
Qalibaf: Marekani inapaswa kujua kwamba enzi ya "majibu sawia" imekwisha
Sep 06, 2026 11:38Spika wa Bunge la Iran amesema kuwa kabla ya kuchelewa, Wamarekani wanapasa kujua kwamba kanuni za mchezo zimebadilika na kuanzia sasa, uchokozi wowote dhidi ya maslahi na usalama wa Iran utajibiwa kwa hatua itakayokuwa "ya haraka zaidi, nzito zaidi na yenye kuumiza zaidi."
-
Qalibaf: Marekani ‘inaua kama Shetani’: Alaani shambulio dhidi ya sherehe ya harusi kusini mwa Iran
Sep 02, 2026 12:55Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf amelaani shambulio la Marekani dhidi ya sherehe ya harusi kusini mwa Iran, akisema kuwa kulenga raia katika shule, ukumbi wa michezo na sherehe ya harusi kunaonyesha namana Washington inavyotenda na kuua "kama Shetani."
-
Qalibaf aziambia nchi za kanda hii: Usalama unaojengwa kwa kutegemea uingiliaji wa nchi ajinabi unalegalega
Aug 31, 2026 04:41Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf amesema kuwa matokeo ya umoja miongoni mwa Waislamu yamekuwa ni kushindwa kwa maadui zao, na kusisitiza kuwa usalama wa kikanda unaotegemea uwepo na uingiliaji kati wa madola ya nje ya eneo hili kimsingi ni dhaifu.
-
Spika wa Bunge la Iran: Adui atashindwa katika vita kamili vya kiuchumi alivyoanzisha
Aug 28, 2026 03:28Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Nchi iko katika vita kamili ya kiuchumi na tutaona jinsi adui atakavyoshindwa katika vita hivi.
-
Spika Qalibaf: Muqawama wa Iraq ni chanzo kikuu cha nguvu kwa Iran na Iraq
Aug 20, 2026 03:30Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf amesema Muqawama wa Kiislamu nchini Iraq umekuwa moja ya nguzo muhimu za nguvu kwa Iran na Iraq, akisisitiza kuwa fikra na harakati za Muqawama zimevuka mipaka ya eneo na kupata uungwaji mkono duniani.
-
Qalibaf awapongeza makamanda wa ngazi ya juu kwa uteuzi wao katika majeshi ya Iran
Aug 11, 2026 11:27Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amewapongeza makamanda na maafisa kadhaa wa ngazi ya juu wa jeshi walioteuliwa kushika nyadhifa muhimu za kijeshi.
-
Spika wa Bunge la Iran: Wito wa Kiongozi wa "Umoja wa Kitaifa" ni muhimu kwa ushindi
Jul 19, 2026 12:51Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge la Iran) Mohammad Baqer Qalibaf amesisitiza kuwa kuzingatia maaagizo ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei kuhusu kudumisha umoja wa kitaifa ni muhimu kwa ajili ya ushindi katika mapambano dhidi ya adui.
-
Spika wa Bunge la Iran: Zama za uonevu wa Marekani zimekwisha
Jul 09, 2026 03:26Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, ameikosoa Marekani kwa kukiuka Mkataba wa Maelewano kati ya Iran na Marekani (MoU), akisisitiza kwamba "zama za uonevu na ulaghai" wa Washington zimekwisha.
-
Qalibaf: Mkataba wa Islamabad ni tangazo la kufeli kwa Marekani
Jun 24, 2026 11:00Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Mkataba wa Maelewano (MoU) wa kumaliza vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran haukuwa matokeo ya shinikizo au kulazimishwa, bali ni zao la ustahimilivu na nguvu ya taifa shupavu la Iran.