-
Sudan yakosoa kurefushwa vikwazo dhidi yake na Marekani
Nov 01, 2016 11:08Serikali ya Sudan imekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuirefushia vikwazo Khartoum kwa muda wa mwaka mmoja mwingine.
-
Mazungumzo ya Marais wa Misri na Sudan
Oct 07, 2016 02:30Misri na Sudan ni nchi mbili jirani zenye mivutano katika masuala mbalimbali. Mivutano hiyo imewafanya viongozi wa nchi hizo kukutana na kutiliana saini hati ya ushirikiano wa kiistratijia kama juhudi za kupunguza mivutano hiyo.
-
UN: Sudan izungumzie 'kutumiwa silaha za kemikali Darfur'
Oct 05, 2016 11:31Umoja wa Mataifa umeitaka Sudan ieleze msimamo wake kuhusu madai ya kutumiwa silaha za kemikali dhidi ya raia katika jimbo la Darfur.
-
Ripoti: Majeshi ya Sudan yametumia silaha za kemikali dhidi ya raia Darfur
Sep 29, 2016 04:10Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limevituhumu vikosi vya serikali ya Sudan kwamba, vimetumia silaha za kemikali dhidi ya raia katika jimbo la Darfur magharibi mwa nchi hiyo.
-
Sudan yaunga mkono kutumwa wanajeshi wa Kiafrika nchini Sudan Kusini
Sep 28, 2016 03:39Serikali ya Sudan imesema kuwa inaunga mkono kutumwa wanajeshi wa kulinda amani wa Kiafrika huko Sudan Kusini.
-
Sudan inawahifadhi wakimbizi wa S/Kusini karibu laki nne
Sep 22, 2016 00:48Sudan imetangaza kuwa inawahifadhi wakimbizi wa Sudan Kusini karibu laki nne ambao wamelazimika kuikimbia nchi yao kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
-
Mivutano ya kisiasa yaongezeka kati ya Sudan na Sudan Kusini
Sep 21, 2016 10:31Duru za nchini Sudan zimekosoa upuuzaji unaofanywa na Sudan Kusini katika kuwadhibiti waasi waliopo katika maeneo ya mipaka ya nchi mbili hizo.
-
Sudan: Ni matumaini yetu amani itapatikana karibuni hivi Sudan Kusini
Aug 24, 2016 10:50Waziri wa Habari wa Sudan amesisitizia wajibu wa kufanywa juhudi za makusudi za kukomesha mapigano ya silaha nchini Sudan Kusini na kutatuliwa mgogoro wa nchi hiyo kwa njia ya mazungumzo.
-
Kutangazwa muda wa kujiuzulu Rais Omar al Bashir wa Sudan
Aug 22, 2016 03:32Rais Omar al Bashir wa Sudan ametangaza kuwa, ana nia ya kuachia madaraka ifikapo mwaka 2020. Amesema atalazimika kuachana na siasa kwani katiba ya Sudan haitomruhusu kubakia madarakani.
-
Sudan kuanza mazungumzo ya usitishaji vita
Aug 10, 2016 03:27Mazungumzo yenye lengo la kufanikisha usitishaji vita wa kudumu katika mikoa mitatu ya Sudan iliyoathiriwa na mapigano yameanza Jumanne wiki hii siku moja baada ya muungano wa upinzani kusaini ramani ya njia ili kuhitimisha uhasama na kufikia suluhu ya kisiasa.